Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KONGOTO, Jun 3, 2012.

 1. K

  KONGOTO Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..

  Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara hivyo basi wadadisi wa maswala ya siasa wanamuelezea kama atakua na mlengo wake wa mageuzi ya vuguvugu la siasa anazozionesha hasa hizi za mageuzi ya kweli basi atapenya kwa kasi kubwa sana..kwani kwa sasa vijana na wazee wengi wanataka mageuzi kuanzia kata na majimbo hadi taifa...

  Kijana mimi kwa upande wangu sina pingamizi juu yako kwani nimeweza kuona uwezo wako wa kujenga hoja kama utapata watu wazuri kukupa ushirikiano....hongera kwa kutangaza au kwa kuwa na nia ya kuwakomboa wakazi wa musoma vijijini

  Naomba kuwasilisha kwa wana janvi.........
   
 2. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Utakuwa ni we mwenyewe,komaa kamanda si tunachotaka ni mabadiliko.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Kumwondoa Mkono Musoma Vijijini ni ndoto za mchana.
   
 4. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu nadhani unaota au huzijui siasa za Musoma vizuri. Kumuondoa mkono inawezekana sana tu ndio maana aliunga mkono kwa nguvu zake zote kugawa hilo jimbo ili agombee ubunge kupia ukanda wa majita manake ukanda wa huku kwao kura zake huwa ni chache.

  Akipatikana mtu wa kweli wa kushindana naye mkono anaangushwa ili uelewe hili vizuri inabidi upate nafasi ya kuelewa hulka za wapiga kura wa mkoa wa mara vizuri
   
 5. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umekuja kujipima na Mkono jf! Sijui kama uko sahihi....ingekuwa njema uende huko huko
  musoma vijijini
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hii habari ilishaletwa na tukazisoma humu.
  Mbaya au nzuri mtoa mada ame copy na ku paste, kwakuwa kama ilivyokuwa ile ya awali ndivyo ilivyo, hata hii haijamention anataka kupambana na mkono kupitia wapi.
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kamanda unaonekana kwamba huna ujasiri maana unajificha nyuma ya fake ID.
   
 8. M

  Mkira JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unataka kuwapelekea nini zaidi!
  au kwa kuwa unataka kutumia KURA ZA WAJITA mbona mnaleta mambo ya kipemba nyie nao ni wale wale wanngunikaji kama wapemba! simply kwa sababu unataka tu mbunge atokanae na KABILA LAKO! KWA MGONGO WA CHADEMA KWANI NANI KWAMBIA CHADEMA KINATAKA MTU LAZIMA ATOKE ENEO FULANI, madi yenu watu wa design yako wanayajua landa humu JF wengi hjawajui ni yale yale kama ya wapemba! Ila mkija na sababu za msingi sawa mnaweza kumuondoa lakini simply tu eti kwakuwa hatokei huko kwenu itakuwa ngumu mnataka JIMBO LIGAWANYWE ILI IWEJE LIKISHA GAWANYA MTAJIKUTA kumbe kuna waruri na wajita na wakyaya! jipimie na sentesi yako inavyokuhusisha na ukanda! acahane na ukabila kuna maprofessor wengi toka huko hawarudi hata nyumbani lakini mkono kawabadilishia shule zenu zote so kwa kiwango cha juu sana lakini kila kata amepita na amefanya mambo!

  Musoma Rural Website
   
 9. M

  Mkira JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Na hapo website bado haijaboresha kuonesha MAVITUSI YALIYOKWISHA FANYIKA SHULE ZAIDI YA 43 KILA KATA hadi wato wanafaulu na kukataa kwenda sekondari lakini chini ya wabunge wenu zilikuwa shule 3 tu na ilikuwa ngumu kwa mtu kupta nafasi ya kwenda sekondari. mwanafunzi mwenye marks 115 out of 150 alikuwa hachaguliwwi kwenda sekondari katika wilaya ya musoma vijini hapati nafasi mwaka 1995! . Leo hii hata mwenye 80 out 150 anaenda sekondari. Kwa taaifa yako kama uongozi ni usomi basi wapo waliobobea na na degree tatau wengi tu! mtapambana nao!
   
 10. Profesy

  Profesy Verified User

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii habari mbona kama vile tumeshawahi kusikia?
   
 11. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
   
 12. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Komaa mura waito wa KONGOTO!
   
 13. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kila la kheri kijana usiogope pambana naye tu bwana mkono.
   
Loading...