Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

Kanda ya ziwa wamezidi, kila kitu Ndo tabhu.... Hali hiyo haielezwi ili kuchochea ghasia, lakini inapaswa waone ukweli kuwa utajiri unaowazunguka, ukubwa wa eneo lao na wingi wa wazawa wake ni mtaji tosha ambao mara zote umetumika kwa kuombwa kura na kupewa karaha. Ukiingia kwenye migodi yote mikubwa wao wamebaki kuangalia na kusema ndo tabhu. Amka wewe usinziaye.
 
Unadhani kwa nini kanda ya ziwa yote imehamia CDM????
tunataka utawala wa majimbo.
FULL STOP.
 
imenigusa sana hii thread
i was so shocked nilipokuja kanda ya ziwa
ni zaidi ya kituko jamani

ila sasa tulishaamua ccm kwaheri na ndio kampeni yetu huku
 
GreatThinkers,

Naskia kuna malalamiko kuwa Kanda ya ziwa licha ya kuwa Migodi yote ya Dhahabu iko kule hakuna hata international airport, Mwanza airport ni kama shule ya kata ni kweli?

Nasikia kuna Malalmiko Rocky City Mwanza, Kikwete hadi December 2011 hajaleta hata Sh. kumi ya ruzuku ktk Jiji wakati hadi leo alitakiwa awe ameshatoa 40Bilioni ili kuwakomoa kwa kuwapiga chini ktk Uchaguzi ni kweli?

Nasikia kuna malalamiko, yakuwa lile Jiwe maarufu la Bismack pale Kamanga Ferry lililokuwa ktk noti ya Tsh. 1000 likiwa na sahihi ya Mramba na Balali pia wameiondoa na kuweka kilima cha pale Gairo kikiwa na sahihi ya Mkulo na Ndulu, ni kweli?

Naskia kuna malalamiko kanda ya ziwa kuwa licha ya kuwa na watu 16mil kati ya 45mil Tz, Katiba imejadiliwa Dodoma, Dar na Zanzibar, hawataki kabisa kuwashirikisha kisha wanataka CCM muwapiguie kura, ni kweli?

Naskia Kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa asilimia hamsini ya wasomi wote tanzania wanatoka kule hakuna hata chuo kikuu hata kimoja cha serikali ni kweli?

Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa na madini yanayoweza zalisha Cement yako pale Shinyanga hakuna hata mpango wa kujenga kiwanda licha ya kuwa 2005 mliahidiwa ni kweli?

Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa mkoa mpya wa Simiyu umeomba ile barabara inayopita serengeti mmeomba ipitie Lamadi, bariadi kuja Hydom na kuunga Babati naskia wamekataa ni kweli?

Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa kuna hakuna viwanda licha ya kuwa mna bidhaa nyingi lakini vinajengwa vyote pwani eti msafiri mkaombe vibarua Kibaha na bagamoyo ni kweli?

Nasikia kuna malalamiko kanda ya ziwa kuwa ili bandari ya nchi kavu Isaka-Shinyanga vijijini nayo imekufa ili kuimalisha ajira ya pwani na kuanzisha bandari mpya ya nchi kavu Chalinze ni kweli?

Naskia kuna malalamiko kuwa wilaya nyingi za zamani kama Musoma vijijini,Shinyanga Vijijini hazina hata makao makuu lakini baadhi ya zilizoteuliwa juzi juzi tuu zimejengwa vizuri ile mbaya ni kweli?

Sasa kama ni kweli mnangoja nini- Hameni wote Si Si EM inaonekana wanachumia kwenu halafu wanawekeza kule Chalinze

Uwanja wa ndege waiting room inavuja wakati mvua zinanyesha, aibu.
 
Wanaogopaga hawo mami hawana maana, ingekuwa kwetu Mwanga ni mageuzi tu
 
He! hawa jamaa maandazi nini sa wataibania nchi nzima? Nyie waacheni tu. Mwisho wao sio mbali, tumetaabika miaka hamsini, itakuwa hii mitatu ya mpaka 2015? Nyambaf
 
Unatia hasira sana wewe,unaonekana wewe ni mchonganishi namba
 
Mimi ni mkazi wa Kahama,tuna hasira na ccm acha, kama hauamini subiri 2014 na 2015. Kahama mjini ccm hawakupata hata kata 1 kwenye uchaguzi 2010 na kata kibao vijijini ilishinda CDM. Lembeli na Maige (wote hawa ni wabunge wa majimbo 2 ya wilaya ya Kahama hawarudi mjengoni 2015 wala mdudu yeyeto toka CCM). Kuna Migodi 2 mikubwa hapa Buzwagi na Bulyanhulu yote wamepewa matapeli wa BARRICK lakini Kahama iko hoi kimaendeleo.
 
GreatThinkers,
Katika utafiti uliofanyika kwa muda wa Takribani Mwaka na vijana Makini wa Kanda ya Ziwa kwa kutaka kufahamu kwa nini Uwanja wa ndege wa Mwanza hautengenezwi kuwa wa kimataifa na viongozi wa sasa licha ya ukweli kwamba Mwanza ndiyo katikati ya Jumuia ya Afrika Mashariki. Burundi, Rwanda, Tanzania, Uganda na Kenya ni pamoja na;

· Mwanza iko juu ya usawa wa Bahari kwa hiyo ndege nyingi za kimataifa zitaacha kutumia Uwanja ulioko Dar kwa kuwa uko chini sana hicho kuua soko la pwani.
· Uwanja mpya wa ndege ukijengwa Mwanza Eneo la Mabuki utaathiri sana ndege chache zinazotua KIA kwa kuwa imesongwa na Milima mirefu Meru,Kilimanjaro na Longido. Milima huwa inawapa usumbufu sana Marubani pale inapowalazimu kungoja kwa muda wakati ndege nyingine inatua au kuruka.
· Mpango mzima ulijificha mioyoni mwa viongozi wa sasa wa kuiogopa kanda ya ziwa kuwa ikipata nguvu kiuchumi inaweza inaweza kuathiri namna ya viongozi wa Pwani kupata uongozi ndani ya nchi.
· Kuhahakisha kuwa muda wanautumia kurundika Viwanda,Vyuo vikuu na vituo mbalimbali vya utafiti ili ikija tokea lolote Ukanda wa Pwani utakuwa ushafaidika.

Kila la kheri
 
mbona hii topic haina akili? kanda ya ziwa imetengwa? imetengwaje? je wale wa sumbawanga, mtwara na Lindi watasemaje?...wale wa kigoma mwisho wa reli ndo wasemaje?....Kanda ya ziwa haijatengwa na ni eneo mojawapo ambalo lina bahati sana ya kutotengwa....ungesema Tanzania nzima imetengwa hapo ningekuelewa.
 
Kiasi flan unanifungua macho mkuu na hapo kwenye red kumenifanay nisiende lunch ili nifunge kwa muda kutafakari ukweli huu! Kuna wakati huwa najiuliza maswali mengine bila kupata majibu, kwa mfano kwa mujibu wa sensa ya 2002 mkoa wa Shinyanga ndio uliokuwa unaongoza kwa kuwa na ng'ombe nyingi lakini kiwanda cha kusindika ngozi kiko Kibaha Pwani
 
Yote uliyosema ni kweli, mimi ni mojawapo ya waathirika wananchi wa kanda ya ziwa. Napenda kuogezea
1. Zaidi ya asilimia 99 ya watu wa kanda ya ziwa hawana maji ya bomba licha ya kuzungukwa na ziwa la pili kwa ukubwa duniani
2. zaidi ya asilimia 99 hawana umeme
3. Asilimia >90 ya watu hawajawahi kuona barabara ya rami
4. Shule za msingi watoto hawapewi chakula, wanakaa chini, madarasa yameezekwa kwa nyasi.
5. Shule za secondary za kata hazina umeme, walimu, vyoo, mabweni nk
Unaweza kuongezea pia, CCM NI MAAFA YA KANDA YA ZIWA.

haya mbona kila mahali yapo
 
Kanda ya Ziwa tumeshafunguka muda, Dar ndio wanatuangusha ila na wao karibu watafunguka tu wewe subiri Budget hii ianze kutumika uone ukali wa maisha.
 
si kweli hiyo nembo ya kwenye sh..1000 mbona ipo kwenye noti zote ya zaman na sasa??? jaribu kutazama vizuri utaziona tu kaka......
 
Ukifika Dar es Salaam, wakazi wa Temeke nao wanalalamika wametengwa tofouti na wilaya zingine kama Ilala na Kinondoni, wanasema bandari ipo wilaya yao lakini hakuna barabara hakuna maji, hakuna umeme.
 
mbona hii topic haina akili? kanda ya ziwa imetengwa? imetengwaje? je wale wa sumbawanga, mtwara na Lindi watasemaje?...wale wa kigoma mwisho wa reli ndo wasemaje?....Kanda ya ziwa haijatengwa na ni eneo mojawapo ambalo lina bahati sana ya kutotengwa....ungesema Tanzania nzima imetengwa hapo ningekuelewa.

Mi nadhani wewe ndio una upungufu wa akili! Unajua Kanda ya Ziwa inachangia kwa kiasi gani pato la taifa? ukishajua pima na maendeleo yaliyopatikana mwaka hadi mwaka. Mimi naungana na wengine huko juu. Kanda ya ziwa haikupaswa kuwa duni kiasi hicho, bali inatakiwa kuwa ni yenye maendeleo zaidi kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki. walioko huko serikalini wanatumia hiyo nafasi ya ndoho tabu wakidhani kwamba watu watabaki kuwa wajinga siku zote, ipo siku watu wataamka na siku hiyo ndipo mtakapojuta kuiba mali za wengine.
 
Backward Never Foraward Ever.
Kanda ya ziwa inadai haki ya Msingi.
Peoples....................
 
Back
Top Bottom