Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KONGOTO, Jun 2, 2012.

 1. K

  KONGOTO Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..

  Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara hivyo basi wadadisi wa maswala ya siasa wanamuelezea kama atakua na mlengo wake wa mageuzi ya vuguvugu la siasa anazozionesha hasa hizi za mageuzi ya kweli basi atapenya kwa kasi kubwa sana..kwani kwa sasa vijana na wazee wengi wanataka mageuzi kuanzia kata na majimbo hadi taifa...

  Kijana mimi kwa upande wangu sina pingamizi juu yako kwani nimeweza kuona uwezo wako wa kujenga hoja kama utapata watu wazuri kukupa ushirikiano....hongera kwa kutangaza au kwa kuwa na nia ya kuwakomboa wakazi wa musoma vijijini
   
 2. P

  Prince Dikembe Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cjaona umuhimu wa kuiandika hii thread huku, nadhani ungeiandika/ungeipeleka kwenye jukwaa la siasa ingependeza zaidi!!
   
Loading...