Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KONGOTO, Jun 2, 2012.

 1. K

  KONGOTO Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..

  Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara hivyo basi wadadisi wa maswala ya siasa wanamuelezea kama atakua na mlengo wake wa mageuzi ya vuguvugu la siasa anazozionesha hasa hizi za mageuzi ya kweli basi atapenya kwa kasi kubwa sana..kwani kwa sasa vijana na wazee wengi wanataka mageuzi kuanzia kata na majimbo hadi taifa...

  Kijana mimi kwa upande wangu sina pingamizi juu yako kwani nimeweza kuona uwezo wako wa kujenga hoja kama utapata watu wazuri kukupa ushirikiano....hongera kwa kutangaza au kwa kuwa na nia ya kuwakomboa wakazi wa musoma vijijini

  Naomba kuwasilisha kwa wana janvi.........
   
 2. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  ndugu yangu umevamia jukwaa, kwa kifupi humu ni jukwaa la kazi na tenda na wala si siasa, wanasiasa wana jukwaa lao maalumu ingia humo kisha post thread zako za kisiasa, kama una michongo ya kazi ama tenda karibu this will be the right place.
   
 3. M

  My prince Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio mahala pake peleka jukwaa la siasa.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Ajiangalie maana kuna wimbi la M4C!!
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mode toa hii k2.
   
 6. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  toa usenge nyaji humuuu.....
   
 7. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mwee clever u!
   
 8. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu!
   
Loading...