Recent content by Kizzy Wizzy

  1. Kizzy Wizzy

    Mchele super mzuri kilo 6000+ unauzwa

    Habari, natafuta soko au mteja wa mchele kutokea mbeya, akipatikana atakaeweza kuununua wote itakuwa vizuri. Mawasilisno: 0769977222
  2. Kizzy Wizzy

    Hydro- Geology and Water-Well Drilling vs Water Supply and Sanitation Engineering

    Drilling ni bonge la kozi sema kibongobongo hailipi Nenda iyo water supply and sanitation ukimaliza omba kazi kwenye mashirika ya humanitarian kama water mission, world vision, NRC, DRC, Oxfam, from there proceed to the higher ranks usikubali kuajiriwa selikarini vision yako iwe kufanya kazi...
  3. Kizzy Wizzy

    Couple ya Marioo na Paula unaizungumziaje?

    Nimeshika tama kwa huzuni, sijui kwanini...?? Nahisi nitakuwa ugonjwa..!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kizzy Wizzy

    Yani voda wananitumia text ya 75% matumizi wakati sijawasha data tangu asubuhi

    Basi tena, mana huwa hawatoagi contacts zao pia for the first time ni lazima waishike simu yako wainstall app zao, so kwa ww tenga muda uende pale na simu yako kama unataka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kizzy Wizzy

    Napataje full scholarship UK?

    Hapo sawa, inamake sense kabisa.... Unakuta mtu hata experience baada ya kumaliza degree hana anakimbilia masters, matokeo yake anarudi na masters yake bado anahaha mtaani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kizzy Wizzy

    Yani voda wananitumia text ya 75% matumizi wakati sijawasha data tangu asubuhi

    Nenda DIT pale ulizia tu VPN internet utaelekezwa kwa mdau Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kizzy Wizzy

    Yani voda wananitumia text ya 75% matumizi wakati sijawasha data tangu asubuhi

    Shauri zako, watu wameshasahau bei za bando... Ongea na watu vizuri..[emoji23][emoji23][emoji23] DIT pale Kuna watoto wanaichezea iyo mitandao utafkiri wameiunda wao..., kwa buku 5 tu wanakuunganisha unatumia unlimited mwezi mzima... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kizzy Wizzy

    Napataje full scholarship UK?

    Wewe ni lecturer?? Degree yako umeshaifanyia kazi?? Watu hukimbilia masters na wakati degree tu yenyewe haijakupeleka popote.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kizzy Wizzy

    Naomba kujua ni Godoro gani lenye ubora na linalodumu zaidi

    Chukua QFL mkuu Tanfoam saivi wanachakachua sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kizzy Wizzy

    Nusu ya utajiri wa Jack Ma washuka baada ya kuzikosoa Mamlaka za China

    CCP wanahaha kubakia madarakani, wanajua wachina wengi wamewachoka na ndomana wanazidi kuzidi kuwabana wachina kwa kuwafatilia zaidi kwa kutumia teknolojia. Ogopa chama ambacho kinaweza kuharibu culture ya jamii nzima ili kuendelea kuwepo madarakani, rushwa na tamaa ya madara ya kutaka...
  11. Kizzy Wizzy

    Ushauri kwa Serikali ya Tanzania na watu wake

    Ni mchina huyoo anakushauri kuhusu population control wakati kwao Kuna over 1B people Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kizzy Wizzy

    Kwanini uliacha kwenda kanisani?

    You sound like you are furious or in pain, why? We were just exchanging ideas and views concerning existence of OMNIPOTENT and OMNISCIENT LORD. You sound like you are feeling angry as like you're defeated. Just take it easy and relux my friend. We were not in competition. I am not in...
  13. Kizzy Wizzy

    Kwanini uliacha kwenda kanisani?

    Square root of 2 can be equal to 10 na inawezekana. Na inaweza kuwa proved. In fact numbering system imeundwa na binadamu. Kuna mifumo mingi ya numbering.. Binary Decimal Hexadecimal Octadecimal n.k In decimal form square root ya 2 haiwezi kuwa 10 but in other numbering system square root...
  14. Kizzy Wizzy

    Kwanini uliacha kwenda kanisani?

    Do you know how the universe came to its existence? The facts that unakwepa hili swali ni kwasababu lipo beyond you logical capability of thinking. You can be god to your followers, but OMNISCIENT AND OMNIPOTENT GOD, ALPHA AND OMEGA LORD? No You can't be the one and never anybody shall be!
Back
Top Bottom