Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Straight to ignore list.

Kutoka hapa sitaona chochote unachopost.
You sound like you are furious or in pain, why?

We were just exchanging ideas and views concerning existence of OMNIPOTENT and OMNISCIENT LORD.

You sound like you are feeling angry as like you're defeated. Just take it easy and relux my friend.

We were not in competition. I am not in competition.

I am sorry if I have bothered you in anyway.
 
Nimeacha kwenda Kanisani baada ya Kukubali Shetani aupige mwingi Moyoni mwangu, Rohoni Kwangu na kumruhusu Kipumbavu kabisa atawale Akili na Hisia zangu.

Hata hivyo taratibu sasa naqnza kujiondoa Kwake ( Shetani ) na Siku si nyingi nitarejea katika Himaya ya Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo ili niweze Kumtumikia na kuenenda vile atakavyo na GENTAMYCINE kuwa Mcha Mungu niliyetukuka.

Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie sana.
Pole sana Gentamycine
 
Nilipo gundua dini inanijenga niwe na hofu ya kitu nisichokijua na kunihusisha na ugomvi wa viumbe nisiowajua ,nakunishauri niamni tu huku wakichukua cheji zangu, nikigoma wanatishia hawatanizika as if wakiniacha bila kunizika ni shida zangu.
 
Back
Top Bottom