Naomba kujua ni Godoro gani lenye ubora na linalodumu zaidi

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu naomba kujuzwa kati ya hawa jamaa wanaojiita Tamfoam Arusha na Dodoma Asili ni godoro gani lenye ubora na uimara zaid?
 
Kwanini ununue godoro, kwani duniani tumekuja kulala?

By the way, chukua Dodoma asili liko poa
 
Ukichukua chapa GSM umeliwa utakua na vichom vizivyo koma kila siku
 
Nilinunua godoro Dodoma mwaka 2003 hadi sasa nalitumia na halionyeshi dalili ya kuchoka hivi karibuni
 
Back
Top Bottom