Mchele super mzuri kilo 6000+ unauzwa

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
3,280
3,776
Habari, natafuta soko au mteja wa mchele kutokea mbeya, akipatikana atakaeweza kuununua wote itakuwa vizuri.
Mawasilisno: 0769977222
 
Habari, natafuta soko au mteja wa mchele kutokea mbeya, akipatikana atakaeweza kuununua wote itakuwa vizuri.
Mawasilisno: 0769977222
Iwapo tangazo hili ningeandika mimi, basi lingesomeka hivi:
=

Kichwa cha Thread:
Mchele Mzuri wa Mbeya - Kilo 6000+ Zinauzwa!

Tangazo:
Je, unatafuta mchele bora wa Mbeya kwa bei nzuri? Usitafute zaidi! Tuna kilo 6000+ za mchele mweupe safi, wenye afya na ladha nzuri ninauza kwa jumla. Mchele wetu umepandwa na kuvunwa kwa uangalifu mkubwa katika eneo la Mbeya, Tanzania, na unahakikishiwa kuwa wa ubora wa juu.​

Faida za Kununua Mchele Wetu:
  • Mchele mweupe safi, wenye afya na ladha nzuri
  • Umepandwa na kuvunwa kwa uangalifu mkubwa
  • Ubora wa juu kutoka Mbeya, Tanzania
  • Unapatikana kwa jumla na kwa bei nzuri
Mawasiliano:
Kwa maelezo zaidi na kununua mchele, tafadhali wasiliana nasi kwa:
  • Simu: +255 769 977 222
Usafirishaji:
Tunatoa huduma ya usafirishaji kwa maeneo yote nchini Tanzania.

Tunakaribisha wateja wote, wakubwa na wadogo!

=
My take
:
Ukihitaji kutengeneza tangazo bora na kupata matokeo chanya ya Tangazo lako, (jifunze kutumia AI na) weka idea yako ya tangzo kwenye Ai, na utapata matokeo bora zaidi.

NB:
1. Nilichofanya Nimei_command AI iboreshe Tangazo, na imenipa hiyo version ya Tangazo hapo juu.
 
Mimi siwezi kununua Michele kwa sh 6000
Vitu vingine ni kuvitukuza tu.
Hii ni sawa kununua pizza (ngano 1/8 kg, nyama 1/8kg ) kwa sh.elfu 50.
Kuna mchele mzuri kama wengine wanapika kawaida ,kuna wengin wanatumia kweny shughuli maalum..kuna Basmat kaulizie bei yake kwanza.
 
Mchele super wa Mbeya mahotelini uko zenji wananunua shillingi 4000 kwa kilo , Sasa wewe sijui unatafuta wateja wa kutoka wapi? Au umekurupuka usingizini na kudanganywa utauza kwa elfu sita , peleka ulaya ukauze hiyo bei.
 
Mimi siwezi kununua Michele kwa sh 6000
Vitu vingine ni kuvitukuza tu.
Hii ni sawa kununua pizza (ngano 1/8 kg, nyama 1/8kg ) kwa sh.elfu 50.
Soma tangazo vizuri. Hiyo 6000+ sio bei ya kilo bali ana kiasi cha zaidi ya kilo 6000 (tani 6) anaziuza. Umeelewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom