Lakini still mtu kama huyu alitakiwa kuenziwa hata kama alilipwa kwa sababu mchoro aliodesign ni moja kati ya nembo za Taifa, kwa wenzetu mtu kama huyu alikuwa sio wa kuishi hivi
Jamani huyu mtu bado anahitaji msaada, watu kama hawa kipindi kile walipokuwa wanafanya hizi sanaa hawakuwa na elimu...
Huyo afande kachemka, sawa Malima anaweza kuwa alikosea lakini kulikuwa hamna haja ya huyo askari kufyatua risasi hewani na kuleta tahaluki kwa raia, mimi nasema awajibishwe sio kupandishwa cheo!
Hajakosea mkuu labda katika speech yake asingemzungumzia kilimo, kwa sababu kilimo ni sekta inayosimamiwa na wizara ya kilimo, yeye ilitakiwa aongelee zaidi ujenzi na uimarishaji wa miundombinu ya umwagiliaji, all in all idara ya umwagiliaji ilitakiwa ibaki wizara ya kilimo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.