Wapigaji Wangu Hatari wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Wa muda wote

Dead ball ndio Mpira gani, eti mpira uliokufa umekufaje sasa, nielewesheni.
Mtaani kwetu ukiitwa Mtaalam wa Dead Ball ina maanisha wewe wasichana wako ni wale wepesi kuwapata (malaya) sasa hiyo Dead ball labda ile mipira ya kuwekewa kumalizia uwanjani :) :) :):) :) :) ;);)
 
Mwingine huyu Sinisa Mihajlovic
download.jpg
Na wengineo chini..
The Joy of Six: free-kick specialists The Joy of Six: free-kick specialists | Rob Smyth
 
Kuna goalkeeper mmoja kutoka America ya kusini, sikumbuki jina exactly, Ila ndiye kipa aliye kuwa akiongoza kwa magoli , magoli yake mengi yalikuwz ni dead balls,
Ndiye huyo nilomtaja hapo juu mkuu. Rogerio ceni
Umemsahau goli kipa Rogerio Ceni, ni mbrazili huyu alikuwa anachezea sao paulo na alikuwa hodari sana wa hii mipira iliyokufa. Kama sijakosea aliwahi kufunga magoli takribani 52 ya namna hii akiwa dimbani.
 
1.JUNINHO PERNAMBUCANO.
2. DAVID BECKHAM.
3. ROBERTO CARLOS.
4. CRISTIANO RONALDO.
5. RONALDINHO.
6. ANDREA PIRLO.
7. ZINEDINE ZIDANE.
8.LIONEL MESSI.
9. LEIGHTON BAINES.
10. HAKAN CALHANOGLU.
 
Safi
Mimi hapo naongeza

David Beckham, jamaa alikuwa master wa dead balls nakumbuka hasa Goli alilo wafunga ugiriki 2001 nadhan jamaa alikuwa ana jua.
Andrea Pirlo- pia alikuwa kwa aina yake yulo poa
Ronaldonho Gaucho- nakumbuka mtume huyu na nabii wa mpira aliwafunga England kwenye kombe la dunia goli safi kabsa.
mafundi wa mpira hao...unaweza kusema amezaliwa nao
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom