jmapunda
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 731
- 2,924
Ungefafanua kilitokea nini.Sometimes hata wewe client unaweza kuwa ni tatizo.Kuna baadhi ya wateja huwa wabinafsi sana.Anaweza kukuta wateja wengine wapo kwenye foleni lakini akataka yeye ndiye ahudumiwe kwanza.Wengine kwa mfano wakiwa bar huwashika wahudumu wakike maungoni mwao bila idhini ya muhusika.Hapo lazima uletewe dharau tu hasa ukikuta muhudumu anajitambua na kujiheshimu.Mwingine kwa sababu labda ana visenti vya mkopo basi atataka awatetemeshe wahudumu.Noo.Utapuuzwa tu.Customer care inafanya kazi tu pale kwenye kuheshimiana.
Hata hivyo siwatetei wale watoa huduma wasiozingatia sheria na taratibu za kazi zao.