Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,101
- 828,951
- Thread starter
- #141
The living truthElimu Elimu Elimu.View attachment 486723
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
The living truthElimu Elimu Elimu.View attachment 486723
Umesahau kitu mkuu, pia tutaambiwa yule mtu ni mgonjwa wa akili!Utasikia yule mtu ni mkenya badaye watasema ile aliyotoa si bastola ni simu alitaka wapige selfie na Nape
Amrtumia tu hiyo kauli ili kutimiza wajibu lakini hamaanishi.labda kwa sababu ni kada mwenzie anaweza kubadili gear angani akafanya kweli.lkni pia atasikiliza sauti za wazee wa chama wanamtetea je kijana wao.Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza nauagiza igp a wafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Inaleta sana ukakasi kama kweli yule ni askari aliyetumwa kazi anakubalije kusukumwa kirahisi vile na "raia" Kitenge. Kitenge ni jasiri sana maana kumsukuma vile mtu mwenye bastola ni ujasiri haswa. Hii movie sijui itaisha lini maana luku inataka kukata.![]()
![]()
maigizo mengine jamani ni hatari sana, Kama ni kweli kitenge naye ahojiwe
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Shikamoo kaka Mshana jr. Eti atafutwe.... na achunguzwe kama ni askari wa kweli!! Mnatuchukulia poa eh? ..............Yes the era of reasoning...... not spoon feedingUsiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
Mwakyembe nae kaingia kichwa kichwa. Report y'a Nape ilielekezwa kwa waaliopo juu y'a nappe s'il mbadala sa nappe. Mwakyembe keshajingiza kwa masifa sa sa inamuweka kiti moto.![]()
![]()
![]()
kuna vitu vinafanyika nchi hii mpaka unadhani Pengine vinafanywa na majuha na wendawazimu
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
T-shirt zao zinafanana Na kofia pia! Si watrace tu kina nani wanavaa vile?yale yale ya mtu ameshikwa ready handed unataka uchunguzi ufanyike tena
Wewe nazan ndiyo muhaya mwenye ubongo wa nzii kuliko wahaya wenzio wenye super akilNakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Huyu msukuma 2020 harudi tena bungeniHa ha haaa.. eti kama askari kweli.. halafu ukiangalia kwa nyuma kwenye lile jeans last kishamba alikua ameweka pingu mfukoni.
Yaani mtu kabeba Bastola na Pingu, na anafanya yale mbele ya watu wa usalama bado unadai eti huna uhakika.
Yote haya chanzo ni Vyeti feki.View attachment 486633
Kwa mujibu wa video hiyo chini, je, Rais Dr. Magufuli alikuwa na maana gani aliposema, "... picha za mtu aliyefanya kosa mmoja, kana kwamba hicho kitendo kinafanywa na serikali, au kina-support-iwa na serikali ... Huyu anatoa anafanya hivi, huyu anatoa hivi"?
Swali la msingi, 'huyo mtu mmoja ni nani kwa mujibu wa ile movie?