Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Unajua ile kauli mbiu kilimo ndo uti wa mgongo wa nchi hii?? Kauli hii bado ni ya ukweli ukae ukijua hilo, baada ya hapo, unajua yeye mi katibu mkuu wa wizara ipi??
Neno kilimo na umwagiliaji unaelewa uhusiano wao??
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Hahhahaa si unajua ndani ya kile chama 'chao' kuna ishu ya azimio la Arusha?
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
La mara hii watu hamjambo kwa kukosoa ,kwani akianza kilimo cha umwagiliaji maji tatizo ni wapi si njaa itakuwa historia,mtu hajaanza hata kazi kaelezea tu mtizamo wake tayari watu mumeshaona kasoro,haya wajuaje na tusubiri
 
Hata wewe hapa unaweza kuwa katibu Mkuu Unatakiwa kujua kusoma na kuandika labda na kuongea k' english
 
Mleta mada unaumwa au Mimi sijakuelewa? Wizara ya maji na umwagiliaji sasa umwagiliaji UPI? Au unataka umwagiliwe wewe badala ya mimea ambayo ndio kilimo alicho sema Mkumbo?
 
Nampongeza kwa kuteuliwa. Juu ya kipaumbele, mi nafikiri tatizo la maji kwa matumizi ya nyumbani ni kubwa zaidi ya swala la umwagliaji hapa kwetu Tz. Sijui kwa nini amechagua swala lisilo nyeti relatively, akaliacha jambo nyeti. Tatizo la prioritization!! Mi namshauri asome sera ya maji kwanza alafu ndo achague kipaumbele.
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Labda naye ni Bashite! Hajui hata majukumu ya wizara yake!
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Hapana hajachemka. Ukweli ni kuwa maswala ya umwagiliaji kwa maana ya ile miundombinu iko Wizara ya maji na hii ni kwa lengo la kuratibu matumizi ya vyanzo vya maji kutoka ofisi moja.

So Prof was right.
 
tunazingumzia kipaumbele?
Yuko sahihi sababu kwa sasa kuna competition kubwa katika utumiaji wa maji na maji ni scarce resource dunian so kama mtendaji labda ameona changamoto ipo kwenye kilimo cha umwagiliaji na kama tunavyojua kuna changamoto inayopelekea mabadiliko ya hali ya nchi ambapo matokeo yake mvua ni chache hivyo yeye kama mtendaji muhimu anakwenda najitahada za kutatua tatizo la maji katika umwagiliaji
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Muwe mnasoma majukumu ya wizara husika kabla haujaposti kitu ile inaitwa ni Wizara ya maji na umwagiliaji
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.

Siku hizi ni umwagiliaji (irrigation) ipo kwenye wizara ya maji.
 
Kwa taarifa yako Wizara ya maji ndiyo wamiliki wa maji yote hapa nchini ,wizara ya kilimo haiwezi kuanzisha mradi wa umwagiliaji bila kibali cha wizara ya maji.
Halafu wizara yake inaitwa wizara ya maji na umwagiliaji unafikiri neno umwagiliaji limewekwa hapo kimakosa?
Kwahiyo kipi kina anza. Maji kwa matumizi ya binadamu kama kunywa, kupikia na kuoga au kumwagilia?
 
Tabu unajipa mwenyewe kwa fikra zako

M

Hutaelewa nilichoandika ndiyo tatizo hapo.

Natumia logic kuandika hivyo kama hukusoma logic huwezi elewa na utaelewa ivyo ulivyo elewa na ambvyo siyo sahihi.
"Kwa kifupi, ulichoelewa sicho nilichomaanisha" labda usome na utumie logic utaelewa vizuri!

Teeeh teeeh haa haaaa haaaa
 
Hajakosea mkuu labda katika speech yake asingemzungumzia kilimo, kwa sababu kilimo ni sekta inayosimamiwa na wizara ya kilimo, yeye ilitakiwa aongelee zaidi ujenzi na uimarishaji wa miundombinu ya umwagiliaji, all in all idara ya umwagiliaji ilitakiwa ibaki wizara ya kilimo!
 
Kwa taarifa yako Wizara ya maji ndiyo wamiliki wa maji yote hapa nchini ,wizara ya kilimo haiwezi kuanzisha mradi wa umwagiliaji bila kibali cha wizara ya maji.
Halafu wizara yake inaitwa wizara ya maji na umwagiliaji unafikiri neno umwagiliaji limewekwa hapo kimakosa?
Kwa hiyo kwa Shida ya maji iliyoko karibu robo tatu ya Tanzania, kipaumbele kinakuwa umwagiliaji?? Hauko serious Mkuu.
 
With due respect Prof Kitila is wrong. The core function of his ministry for sure, is not irrigation.
 
Nilipitia juu juu wasifu wa Prof Kitila, alishawahi kuwa Mwenyekiti wa UDASA, Mkuu wa kitivo cha Elimu, mjumbe wa kamati ya chedema, mshauri wa chama cha ACT, nk.

Sijaona tofauti ya majukumu hayo hapo juu na nafasi aliyoteuliwa. Unless kwa mtizamo wenu mnataka/ mnadhani angepelekwa huko Wizara ya Elimu basi ataenda kushika chaki na huku Wizara ya maji na umwagiliaji hawezi kushika spana ya bomba au drill ya kuchimba visima.

Tulitakiwa kujiuliza/ kufahamu ni nini haswa majukumu ya msingi ya Katibu Mkuu wa Wizara.
Pia aliwahi kuwa katibu Faculty of Science then akawa Rais wa DARUSO pale UDSM
 
Back
Top Bottom