Recent content by kitukuuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Kwa upande wangu najivunia sana we we, Tanzania ingepata watu watano au kumi kama wewe tungekuwa mbali sana. Watu wengi sana wanajua kucritisize tu na kuongea ili wao waonekane bora kuliko wengine, hawajui kuwa sufuria masizi ni asili yake, hata ukisugua kesho yanarudi tena. Ww umeonyesha kitu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Napata wapi mashine ya miwa kwa bei nafuu?

    Habari gani! Natafuta machine ya miwa ambayo inauzwa kwa bei poa. Iwe kwenye condition vizuri ya Umeme. Nawasilisha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Ni wazo nzur tena sana, lakn nikushaur kitu 0674010013
  4. K

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Habar ya asbh wana jm! Kuhusu hili suala jaman Naona kimya kimekuwa kirefu. Hili muhimu sana kwa kufanikisha ndoto za wengi, tumuunge mkono mama yetu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Wamekwisha kujibiwa. Jibu kuu kwa wasio pata no kuwa serikali haina Pesa, kwa aliyepata anamshukuru mungu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuthamini ndoto zao

    Ndugu zangu kaka na dada, mama na baba pia tunatambua kuwa wanafunzi wengi wameshindwa kuendelea na masomo yao kutokana na kukosa uwezo wa kuchangia ufanikishaji wa elimu yao ( ada) kutokana na uwezo wa familia zao, kubwa zaidi serikali kushindwa kuwapa mikopo. Ili vijana hawa waweze kutimiza...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine mmeshawahi kupitia?

    Pole mchukulie mapungufu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Mama kwanza nikusalimu shikamoo.pili niseme asante kwa kuliona hili na kulipa nguvu, kweli wanafunzi tunapata shida sana. Kwa mfano Mimi ni yatima sina wazazi wote na attachment ninazo, ila nimeomba mkopo nimekosa, nimeappeal pia nimekosa. Nimekwenda kuongea na Mkuu wa idara ya matangazo bodi ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PICHA 17: Kijiji ambacho kama huna boti huwezi kwenda hata dukani

    Nimekipenda kijiji safi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa 15m?

    Nitafute tusaidiane
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwan walikuwa wapi?

    Naandika threath hii kwa machungu makubwa moyoni mwangu, huku nikiiraumu serikali kwa kuto kufanya hili mapema. Nikiwa napitapita nilikutana na threath ya uhakiki majina ya wanavyuo wasio kuwa na sifa, ikanilazimu kukimbilia site ya TCU kujionea mwenyewe! Hili inasikitisha sana, tena isitoshe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    Kweli nimeamini watanzania wengi wetu ni malimbukeni. Tunaacha kujadir mambo ya msingi kwa jamii zima, et tunasimama kwa masilah ya mtu mmoja Kweli! Kweli! Kweli!. Hebu tuweni seriouz bwana, huyo muhariri mbona hukuja na hoja hizi before? Leo hii ndo umeligundua hili?. Alafu nani aliye kwambia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu tufanye project ya movie,

    Weka no nikutafute
  14. K

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

    Je unatibika ?
Back
Top Bottom