Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

Kweli nimeamini watanzania wengi wetu ni malimbukeni. Tunaacha kujadir mambo ya msingi kwa jamii zima, et tunasimama kwa masilah ya mtu mmoja Kweli! Kweli! Kweli!. Hebu tuweni seriouz bwana, huyo muhariri mbona hukuja na hoja hizi before? Leo hii ndo umeligundua hili?. Alafu nani aliye kwambia vyeti ndo vinafanya kazi au kuongoza vizr? Kaka/dada uongozi ni wito, acheni afanye kazi yake. Fikra ndo ukombozi pekee, na maendeleo yako, acha kunyumbishwa, simama. Nawasilisha
 
Kukata mzizi wa fitina mheshimiwa kesho aweke mambo hadharani.afike redio mawingu na vveti vyake vyote kuanzia sekondari mpaka chuo na ikiwezekana cha shule ya msingi..hii itawafunga mdomo wale wote wanaotaka kujua undani wa elimu yake...na asiogope hata kidogo wasije wakasema oooho! "mheshimiwa amerusha mawe wakati yupo kwenye nyumba ya vioo"
 
Nonsense! Habari za vyeti vya Makonda ime-trend sana hapa JF! Kwa gazeti lolote linaweza kuvalia njuga issue inayo-trend kwenye social network! Sasa ni nani aliyevalia njuga issue ya Makonda kati ya Jmbo Leo na JF?!
 
Kweli nimeamini watanzania wengi wetu ni malimbukeni. Tunaacha kujadir mambo ya msingi kwa jamii zima, et tunasimama kwa masilah ya mtu mmoja Kweli! Kweli! Kweli!. Hebu tuweni seriouz bwana, huyo muhariri mbona hukuja na hoja hizi before? Leo hii ndo umeligundua hili?. Alafu nani aliye kwambia vyeti ndo vinafanya kazi au kuongoza vizr? Kaka/dada uongozi ni wito, acheni afanye kazi yake. Fikra ndo ukombozi pekee, na maendeleo yako, acha kunyumbishwa, simama. Nawasilisha
Kama vyeti havifanyi kazi serikali inahakiki/inakagua nini kwa watumishi wa umma.Acha upumbavu wa kujitakia kufoji vyeti ni jinai sawa na kuuza madawa ya kulevya
 
Sababu ya Jambo Leo kuingia vitani na RC makonda ,ni Manji kutajwa kwenye biashara ya Dawa za kulevya.Toka RC wa jiji la Dsm amtaje Mfanya biashara Manji kuwa anahusika na Dawa za kulevya gazeti la jambo leo toka siku hiyo limeingia kwenye vita kali na RC Makonda.Gazeti limekuwa linajaribu kwa njia moja au nyingine kumchafua RC Makonda.Toka kutajwa kwa Manji ,kwamba anahusika na Dawa za kulevya ,gazeti hili nalo likaingia vitani kuanza kazi ya kumchafua RC Makonda. Kutokana na uandishi wa gazeti hili ,kila siku kuandika habari za MTU mmoja tu ,ni dhahiri sasa ,gazeti hilo limepoteza maadili ya uandishi wa habari na sasa kujikita kumtetea bosi wao Manji .Ni muda muafaka kwa waziri wa habari ,kuwa makini na uanzishwaji wa haya magazeti kwani mengi yanaanzishwa ili kutetea maslahi ya watu wachache. Ushauri:Watanzania wa mitandaoni tusitumie nguvu kubwa kupotosha ukweli kuwa ,wengi wa wafanya biashara kubwa wanatumia na kuuza dawa za kulevya,na kuanza kupotosha ukweli kwa kuleta habari za uongo kuhusu Makonda.Kama tungekuwa great thinker kweli tungekuwa tunaongelea suala la manji kuhusika na dawa za kulevya ,lakini tunaongelea suala la uzushi kwa RC makonda .Hii maana yake ni kuwa suala la dawa za kulevya linagusa maisha ya wengi humu JF na wengi wanafaidika nazo kwa njia moja au nyingine.Pia ningependa kumshauri mhariri wa gazeti la Jambo Leo,kuwa kumshambulia RC makonda ni sawa na kuipinga serikali kwenye suala la dawa za kulevya. Hii ni kwa sababu RC makonda anaiwakilisha serikali kutimiza wajibu wake.Unapomzushia habar nyingi za uwongo ni eti kwa sababu amemtaja Manji kwenye dawa ,ni sawa na kutetea wauza unga.Naona future yako katika hiyo kazi ,uko mbeleni inapotea kabisa.
Mnafiki mkubwa mbona Gazeti la Uhuru likijikita kwenye Habari za CCM naza uchochezi husemi lifungiwe mfyuuuuu
 
JAMBO LEO wamemhoji elimu yake kidato cha nne,Gazeti la JAMHURI ndio liliandika Rizione kuchunguzwa kwa unga.

Chuki na Manji naona idhahiri sasa baada ya kumaliza ya Lowassa!
 
Attachments

  • Screenshot_2017-02-22-22-19-26.png
    Screenshot_2017-02-22-22-19-26.png
    142.7 KB · Views: 35
Sababu ya Jambo Leo kuingia vitani na RC makonda ,ni Manji kutajwa kwenye biashara ya Dawa za kulevya.Toka RC wa jiji la Dsm amtaje Mfanya biashara Manji kuwa anahusika na Dawa za kulevya gazeti la jambo leo toka siku hiyo limeingia kwenye vita kali na RC Makonda.Gazeti limekuwa linajaribu kwa njia moja au nyingine kumchafua RC Makonda.Toka kutajwa kwa Manji ,kwamba anahusika na Dawa za kulevya ,gazeti hili nalo likaingia vitani kuanza kazi ya kumchafua RC Makonda. Kutokana na uandishi wa gazeti hili ,kila siku kuandika habari za MTU mmoja tu ,ni dhahiri sasa ,gazeti hilo limepoteza maadili ya uandishi wa habari na sasa kujikita kumtetea bosi wao Manji .Ni muda muafaka kwa waziri wa habari ,kuwa makini na uanzishwaji wa haya magazeti kwani mengi yanaanzishwa ili kutetea maslahi ya watu wachache. Ushauri:Watanzania wa mitandaoni tusitumie nguvu kubwa kupotosha ukweli kuwa ,wengi wa wafanya biashara kubwa wanatumia na kuuza dawa za kulevya,na kuanza kupotosha ukweli kwa kuleta habari za uongo kuhusu Makonda.Kama tungekuwa great thinker kweli tungekuwa tunaongelea suala la manji kuhusika na dawa za kulevya ,lakini tunaongelea suala la uzushi kwa RC makonda .Hii maana yake ni kuwa suala la dawa za kulevya linagusa maisha ya wengi humu JF na wengi wanafaidika nazo kwa njia moja au nyingine.Pia ningependa kumshauri mhariri wa gazeti la Jambo Leo,kuwa kumshambulia RC makonda ni sawa na kuipinga serikali kwenye suala la dawa za kulevya. Hii ni kwa sababu RC makonda anaiwakilisha serikali kutimiza wajibu wake.Unapomzushia habar nyingi za uwongo ni eti kwa sababu amemtaja Manji kwenye dawa ,ni sawa na kutetea wauza unga.Naona future yako katika hiyo kazi ,uko mbeleni inapotea kabisa.
Tukitafuta wavutaji hakuna sababu ya cherry picking
Tuamue kuanza na wakamataji na wapimaji nao ni watz. Lakini kama ni mapambano na wauzaji why name calling halafu unaishia kumshtaki kwa uvutaji ?
Mnaongeza sober house kwa mbwembwe huku wengine badala ya kupelekwa sober wanapelekwa kisutu
Tuwe serious tuache unafiki
 
MAPAPA WA MADAWA YA KULEVYA WANATUMIA MEDIA ZAO KUPAMBANA NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WASAIDIZI WAKE, NANI ATAIBUKA MSHINDI WA VITA HII? TUNAANGALIA KWA UTULIVU NA IMAKINI MKUBWA MPAMBANO HUU MIHIMU AMBAO UTASAIDIA LEGACY YA MUHESHIMIWA DR JPM
 
Kweli nimeamini watanzania wengi wetu ni malimbukeni. Tunaacha kujadir mambo ya msingi kwa jamii zima, et tunasimama kwa masilah ya mtu mmoja Kweli! Kweli! Kweli!. Hebu tuweni seriouz bwana, huyo muhariri mbona hukuja na hoja hizi before? Leo hii ndo umeligundua hili?. Alafu nani aliye kwambia vyeti ndo vinafanya kazi au kuongoza vizr? Kaka/dada uongozi ni wito, acheni afanye kazi yake. Fikra ndo ukombozi pekee, na maendeleo yako, acha kunyumbishwa, simama. Nawasilisha
Uhakiki wa vyeti ulikuwa wa nini kama havifanyi kazi.
Mhariri kama kapata tip sasa aache kwa kuwa Mh amefanya kazi nzuri ? Ogeza jhudi ya kufikiri
 
We naye sijui unandika nini.. Achana na Magazeti si aseme kama ni kweli au si kweli
 
Zoezi la vyeti bandia limepotezea kazi watu wengine kama walimu. Wapo waalimu waliopitia mtindo kama wa Makonda wa kutumia vyeti vya wengine kwenda kusomea ualimu na kuwa waalimu wazuri sana wa wanafunzi ambao wametokea kuwa na manufaa makubwa kwenye nchi hii.
Pamoja na kufundisha kwa miaka mingi na wanakaribia kustaafu wamejikuta wanakosa haki zao zote. Jee kwa nini Bw Daud aka Paulo yeye ahurumiwe wakati katumika miaka isiyo zidi mitatu katika utumishi na ana hatia kama wengine wa muda mrefu?
Bora ajiuzulu mwenyewe kwani ni aibu kwake na aliyemteua kama kuna ukweli
 
Nonsense! Habari za vyeti vya Makonda ime-trend sana hapa JF! Kwa gazeti lolote linaweza kuvalia njuga issue inayo-trend kwenye social network! Sasa ni nani aliyevalia njuga issue ya Makonda kati ya Jmbo Leo na JF?!
Mkuu huyu mleta Uzi anafunga uwezo wa kutambua na sasa yuko kimahaba na konda huku akiacha kuchambua data.Mtu huru huchambua vitu kwa Uhuru bila kuegemea upande wowote
 
Back
Top Bottom