James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
SHIU UNASURA YA KIZOMBI NINIMkuu movie aina gani ya Mazombie au..!??
Kama ya mazombie siwezi kosa hapo
SHIU UNASURA YA KIZOMBI NINIMkuu movie aina gani ya Mazombie au..!??
Kama ya mazombie siwezi kosa hapo
Ebu toa I'lo picha hujisikii kinyaaSijaiba nimeiclick nimeenda option nikaona pameandikwa save nikasave kwahiyo unaweza ukasena nimeiclickoptionsavenikasev
Sipo Kihivyo, Nimesema PROJECT Broo,Unaweza kwenda spidi akaishia kukwambia 'nina script kali'.
Yawezekana huyu jamaa amesave ya kupigia Punyeto[emoji23] [emoji23]WE KIBOKO!NIMECHEKA SANA,
Umeniwahi, hata mimi nimeliona hilo...OK unaweza kuwa na wazo nzuri tu ila uandishi tu Wa hii habari yako ya kutafuta wahusika inatia mashaka kama kweli unaweza kuandaa kitu kikubwa kama unavyojitanabaisha hapa jukwaani.
MTU Wa aina gani unamfikiria kichwani mwako ungeweka hapa vigezo vyote ndio maana nikakuambia Maelezo yako yanaacha maswali mengiNina WAZO, na mi nataka nimpate Mtu Mmoja tu, na ninaamin sirahisi kumpata, ILA ATAPATIKANA TU
Nimeku DM no ebu nichekiKWASASA NIPO IRINGA, TUWASILIANE KAKA
HA HA HA HA!HILO PUNYETO MKUU LITAKUWA LA PUNDA,,,Yawezekana huyu jamaa amesave ya kupigia Punyeto[emoji23] [emoji23]
Sina Story Wala Nini, Mi Ninawazo La Kibiashara,Unaweza kwenda spidi akaishia kukwambia 'nina script kali'.
Sasa heshima yako kwangu ya ninitoa hio picha ata mawazo yako tutayaheshimu
Nakukubali sana mwanang hujui tuYawezekana huyu jamaa amesave ya kupigia Punyeto[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]HA HA HA HA!HILO PUNYETO MKUU LITAKUWA LA PUNDA,,,
Nimepata brooNimeku DM no ebu nicheki
Ahahahaaaaa!! Kunawengne Profile Zao, Hazisadifu Hata Kuwajibu Wanachoniulza, Nimesha wapata kk, wa wili,Umeniwahi, hata mimi nimeliona hilo...
Toa hilo picha.Nakukubali sana mwanang hujui tu
Yaani hapa dunian hakuna anaenielewa kama wewe
Yaani hats mama yangu umemuacha mbali sana kuna muda huwa nawaza kama una papuch alaf ukanizaa ila unaficha siri watu wasijue
Sihitaji Wasanii, Wala Director Au cameraman,MTU Wa aina gani unamfikiria kichwani mwako ungeweka hapa vigezo vyote ndio maana nikakuambia Maelezo yako yanaacha maswali mengi
Watu wa kuwalk nyuma ya actors directors?Sihitaji Wasanii, Wala Director Au cameraman,
Nahitaji Watu Wa Ku_ walk Nyuma Ya Hawa Watu,
sababu Hawa Wengine Wanapatikana Kirahisi, Wala Nisingeliweza Kuwatafuta
Weka no nikutafutemi Nina Wazo, Natafuta Watu ili kwa1 Tufanye Jambo Kubwa,
Sorry!! Siwezi Kuliweka Hadharani Wazo Langu, Sababu Wazo Ni Biashara Yenyewe,
WAZO NDO DEAL LENYEWE, TUNAONGELEA PEMBENI NA HAPA,
BUSINESS PLAN NI ZAIDI YA MTAJI KK,
NDO MAANA NIMESHASEMA SIWEZI WEKA WAZI KWA HAPA, HADHARANI