Kwan walikuwa wapi?

kitukuuu

Member
Jan 20, 2017
25
9
Naandika threath hii kwa machungu makubwa moyoni mwangu, huku nikiiraumu serikali kwa kuto kufanya hili mapema. Nikiwa napitapita nilikutana na threath ya uhakiki majina ya wanavyuo wasio kuwa na sifa, ikanilazimu kukimbilia site ya TCU kujionea mwenyewe! Hili inasikitisha sana, tena isitoshe wengine ndo zilibak siku kadhaa tu wamalize na kuondoka na gamba lao, pesa, alio tumia ndo kinacho niuma zaidi.

Swali
(1)Ni nani aliyewadahiri kwa wakati huo? Na wengine wamepewa na mkopo pia.
(2)kwa nini wawajibishwe wao tu, aliye wadahiri aachwe, kwa na yy pia asiwajibishwe?
 
Mimi kinaniuma mbona Kuna watumishi wanatumia vyeti bandia bado wapo serikalini je hili si sawa na kuwafukuza watu wasio na sifa wakati wewe mwenyewe ndiyo umewadahili
 
Back
Top Bottom