Recent content by Kipanga

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno mkuki!

    ...Yeye aliipataje????Teh! tehhh!! tehhh!!!!
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

    .....I like this!!...Kweli tupu...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YANGA-Ligi ya Mabingwa Afrika

    ...Huo ndio ukweli wenyewe nadhani mjiandae kurudi na stori za ku-justify migoli mtakayopigwa!!
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magori, Rage, Madega, warudishwa TFF

    Perfect!!...wafanye kazi kazi sasa sio kuturudisha katika mambo ya waka 47...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani, Chadiel Mgonja afariki

    ...Mbuzi hula mwisho wa kamba yake na unavuna unachopanda. Niliwahi kumuona huyu mzee pale same mjini mwaka 2004 alikuwa na hali mbaya sana kuanzia mavazi mpaka afya yake huwezi kuamini kama alikuwa mtumishi wa serikali mpaka katika level ya uwaziri...Ndio maishakupanga ni kuchagua!!! (RIP)
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What is wrong here

    ...I like this!!! Unajaribu sumu kwa kuonja kwa ulimi??? Mh!!! I doubt if it can work any way!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Fikiria Ni Watoto Wako!

    Kama ni watoto wangu nitawasafisha vizuri na nyumba itasafishwa then wapate msosi fresh then naingia nao maeneo ya kuchezea watoto waende wakafurahi. Siwezi kuwatandika kama mtu aliyeweka rangi kizembe asingefanya hivyo yumkini hayo yote yasingetokea.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mataka bazazi?

    ... Hata mimi nimesikia kuwa jamaa anahusudu sana kuvaa ringi za wanaume wenzake.........Ubazazi ukizidi lazima unachofanya mungu atakupiga kofi usifanikiwe.....
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    ....Hebrew, usiambiwe kitu huko Chita si kwamba ndio kwenye jeshi ni JKT kama zilivyo kambi nyingine tatizo la Chita ni kuwa porini sana kiasi kwamba hata kuruta aki-attemp kutoroka ndio hivyo risk wanyama, majoka ndio tatizo. Otherwise kama ni kilimo hata kambi nyingine wanapiga jembe kama...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ince sacked by Blackburn!

    ....Nimwanzo mzuri kwake at least atakuwa ametoka kitu kitakachomsaidia hata kwa siku za baadae anaweza kuja kuwa kocha mahiri kama Feegy,wenger, Scolari etc
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

    I believe Mzee wa vijisenti will be the next target...I like this!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Gen. Mboma ajaribu kugombea, aangushwa!

    ....Mambo mengine vichekesho kama mtu amestaafu ina maana hata mwajiri wake amemuona anastahili kupumzika sasa mtu kama Mbona bado anataka ubunge nina imani hata uwezo wake wa kufikiri utapungua tu sasa sijui wanakuwa hawajakusanya vijisenti vya kutosha kwa hiyo wanatafuta jinsi ya kuongezea..
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vicky Ntetema ajificha baada ya ripoti BBC

    Yaelekea serikali yetu bado haijamua kuchukua hatua za makusudi kupambana na hili tatizo na ndio maana hata mauaji ya albinos yanaendelea kika kukicha. Hivi bunge kama lingepisha sheria kwa makusudi kwa lengo la kumaliza mauaji ya albino kuwa kila atakayethibika mahakamani kuwa aliuwa albino...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

    Thanks QM kwa observations zako nzuri kuhusu hizi filamu za bongo. Ukweli ni kuwa vijana wengi wa kitanzania wanajitahidi kujiingiza katika kutengeneza filamu ingawa kuna mambo ya msingi yanakosekana katika kuigiza kwao kiasi kwamba hata hizo filamu hupoteza mvuto. Film industry inahitaji...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mkullo ,Shaffiq & Hannif brothers hawalipi kodi , je ulijua haya ?

    ....Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!! wizi mtupu kila kona ya nchi
Back
Top Bottom