Ince sacked by Blackburn!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Kama ilivyokuwa ikitarajiwa Paul Ince amepigwa chini kwenye kibarua chake huko Ewood Park, hiyo ni breaking news iliyopo live sasa hivi kwenye Sky sports ninapoandika hapa. Wengi hapa tulikuwa tukimuombea alipotwaa kiti hicho cha moto afanye vizuri ili awafungulie njia mameneja wengine waingereza weusi kwenye premier league, ametuharibia?
 
Jamaa alibeba jukumu zito sana kuliko uwezo wake Blackburn chini ya Mark Hughes ilifanya vizuri na INCE hakuwa na experience ya kutosha
 
He wasnt up for the job. Ametoka kwenye league 2 mpaka Premier lg na kufind life abit tough up there.

Nadhani akaanze upya kwenye the like of championship then Premier lg. Anyway wishing him all the best
 
Niliwahi kusema kuhusu uzoefu wake katika moja ya mada hapa JF, wakati akitokea MK Dons... anyway ndio yameshamkuta sasa....
 
Wengi hapa tulikuwa tukimuombea alipotwaa kiti hicho cha moto afanye vizuri ili awafungulie njia mameneja wengine waingereza weusi kwenye premier league, ametuharibia?

...labda ni funzo alipokataa further qualification trainings za ukocha, beyond that, ni kama yaliyompata Jean Tigana-Fulham, Roy Keane-Sunderlands, na Fidel Ramos-Spurs, wachezaji wao kutokujituma au kutofuata mafundisho ya kocha/manager fulani.

wenyewe (waingereza) wanaita losing 'dressing room'. Nawasikitikia Legends hawa, Ince na Keano,... na mwingine anayelekea kukalia kuti kavu, Tony Adams!
 
Unaweza kusema hayo kwa kiingereza?

Yes!...

Can you say this in ki-kristu...hahaha...

Ma manager vijana inabidi waangalie hizi mambo upya, wadau wanadai Ince na Keane bado wabichi kwa Prem League, manager uingereza inabidi ujifunze kumeza Frastrutions and pressure na hii huwa si rahisi kwa ma manager vijana, kuwa manager uingereza siyo mchezo...fitna na zengwe zakumwaga.
 
Kama ilivyokuwa ikitarajiwa Paul Ince amepigwa chini kwenye kibarua chake huko Ewood Park, hiyo ni breaking news iliyopo live sasa hivi kwenye Sky sports ninapoandika hapa. Wengi hapa tulikuwa tukimuombea alipotwaa kiti hicho cha moto afanye vizuri ili awafungulie njia mameneja wengine waingereza weusi kwenye premier league, ametuharibia?
Amejiharibia yeye mwenyewe
 
Yeah kwa situation ilivyo naona atakayefuatia ni Tony Adams timu nyingine zinawafaa wazee
Kuna timu zikishafukuza kocha au akiondoka wakija wengine hawapati mafanikio
Bolton-Big Sam aliipata mafanikio tangu ameondoka ni balaa
Blackburn-Mark Hughes kaondoka Blackburn sasa timu inataka kushuka daraja
Pompey-Yule babu Redknap tangua aondoke timu imekuwa mdebedwo
 
Niliwahi kusema kuhusu uzoefu wake katika moja ya mada hapa JF, wakati akitokea MK Dons... anyway ndio yameshamkuta sasa....
....Nimwanzo mzuri kwake at least atakuwa ametoka kitu kitakachomsaidia hata kwa siku za baadae anaweza kuja kuwa kocha mahiri kama Feegy,wenger, Scolari etc
 
According to Sky Sports sources: Sam Allardyce, former Bolton Wanderers and Newcastle boss, will be appointed for this vacant post japokuwa mwanzoni yeye mwenyewe alisema anamind zaidi post ya Sunderland kuliko hii ya Ewood Park.
 
Its confirmed that SAM ALlArDYCE is the new Blackburn Manager
 
The guy was some how unlucky/lack of skills na vitu kama hivyo!, am saying this 'coz at the same time tunakutana na Roy Keane kijana ambaye hakuwa na experience yoyote na aliibeba Sunderland from the bottom of Championship(Leugue daraja la Kwanza), hadi kuipandisha daraja i.e Premeirship, so tunaweza kusema the guy was unlucky or s'things of that kind, coz at the same time mbadala wale The Bid Sam despite kuwa na rekodi nzuri lakini Newcastle ilimshinda!!?...does that make sense to you?

However i can admit that the guy from the very Genesis his post match press conference words was not strong enough, he was cracking, ukichangia Blackburn was a big Club then let him go!
 
Blackburn win shows how players duck out when the axe is about to fall

By Stan Collymore 22/12/2008
The Mirror

"The king is dead, long live the king" has been heard in the dressing rooms of Tottenham, Sunderland and Blackburn this season.

And the fortunes of all three clubs have improved drastically following respective downfalls of Juande Ramos, Roy Keane and Paul Ince.


But I think some players should have been lined up for the guillotine rather than simply their managers.

Blackburn's comprehensive 3-0 thumping of Stoke after 11 league games without a win makes the appointment of Sam Allardyce look a masterstroke.

But you are not telling me a man can walk into the dressing room, pat a couple of the players on the back and make that much of a difference.

Then you get the ridiculous scenario of the players all of a sudden saying the new manager has worked wonders.


No he hasn't, the players have basically absolved themselves of any blame, that is all. Players these days cannot have much professional pride if they are so bad one week and superb the next.

Blackburn's squad got ratings of fours and fives out of 10 at Wigan when they lost 3-0 and got Ince sacked.

Rovers' Roque Santa Cruz is a classic example. After scoring 23 times last term following his astute £3.8million signing from Bayern Munich, the striker has obviously had his head turned by someone and has been an absolute disgrace this season.

His smiling face sitting in the stands on Saturday after announcing his intention to leave shows how mercenary players have become.

My solution to get stars to pull their finger out would be simple but sadly unlikely.

I think if a club gets relegated, then players shouldn't be able to move straight back to the Premier League. Being forced to stay in the Championship for a season might be the wake-up call a few underperforming stars need.
 
Kuna Babu wa Italy nadhani Trapatoni-alisema wachezaji wa UK wakishakuwa na vibeji vyao vya FIFA basi wanaona wameshakuwa ma=kocha, kumbe wanahitaji muda nyuma ya kocha mzoefu. Nadhani alichotaka Ince kapata (Obama wa Premier league????)-kuingia kwenye kumbukumbu ya meneja mweusi.
Meneja akijidai kuhama tu klabu (hasa hawa wasio wazoefu basi anakokwenda hakai-Souness, Curbishely, Big Sam, Ramos, Ince, Keano, Next Hughes????/
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom