Vicky Ntetema ajificha baada ya ripoti BBC

jeshi la polisi halijachukua jitiada zozote za kujaribu kupambana na suala hili.
na hii inatokana na wao wenyewe kushiriki kwenye hili la albino au kushiriki kwenye imani za kishirikina kwenye amsuaal mengine.
hao watunga sheria wetu naona vile vile wanshabikia masuala haya, si tegemei kama suala hili litaondoka kwa akribuni.
we need mass protest .......
 
Hotuba ya Serikali haina nguvu ya kusimama kukemea hilo ikiwa asilimia 90% ya wabunge wamepata ubunge through SANGOMA'S sasa mwenye uwezo wakunyoosha kidole atatoka wapi?? maana atakaye thubutu kufungua mdomo wake tu atakiona cha moto ....

Kweli Tanzania inaitaji maombi ya hali ya juu maana bila kumtanguliza Mungu hakuna kitu.
Tukianza kuwachunguza mmoja baada ya mwingine itakuwa aibu siajabu hata TOP CREAM ya SERIKALI YETU NAO WQAMEPITA HUKOHUKO KWA SANGOMA
 
...nikikumbuka hadithi za kile kifimbo cha Nyerere, mbavu sina!

...kwa nini watu wasiamini uchawi ilhali wengi tu walikuwa na tafsiri na wengine woga mwingi kuhusu kile kifimbo?

View attachment 1865

R.I.P Mwl JK Nyerere A.K.A, Mussa, Kifimbo!
 
Nilikuwa namfuatilia Vicky na BBC nikiwa nje ya nchi na nilivutiwa sana na coverage yake. Hata hivyo nilishangazwa sana na kujiuliza INAKUWAJE MWANDISHI WA HABARI ANAKUTANA NA WANAGANGA NA WAUAJI ANA KWA ANA NA KUPTA TAARIFA ZOTE MUHIMU LAKINI DOLA (SERIKALI) PAMOJA NA VYOMBO VYAKE VYA ULINZI NA USALAMA VIPO VIPO TU NA ATI VINASHINDWA KUPAMBANA NA HAO MASANGOMA NA WAUAJI, KWA KWELI NI AJABU KUU. NA NAJIULIZA KAMA KWELI TUPO SALAMA KUANZIA SERIKALI HADI WANANCHI MAANA NI KAMA VILE HAWAFANYI KAZI YOYOTE!
EPA NA RUSHWA VIMEWASHINDA HATA WAUAJI NA MASANGOMA AMBO WANAFAHAMIKA HATA NA WATU WAKAWAIDA!
 
Tungekua na jinsi ya kuona vitu watu wanvyoficha maungoni mwao, isingekuwa rahisi mtu kusimama na kusema sirikali haiamini ndumba!
Kuna kitu kiko wazi kabisa hapa....waganga hawana lolote, ni mikwala tu. Kama walishindwa kumgundua aliyeenda kuwaachunguza wanawezaje kufanya lolote kwa wengine?
BRAVO Vicky.
 
Kwa nini polisi hawawezi kufanya alichofanya Ntetema: <b>Polisi na wanasiasa ni wateja wakubwa wa wagagnga wa kienyeji!!!</b>.Wanaamini vyeo na madaraka waliyonayo ni juhudi za wagagnga hao.
 
Hivi kwanini mnawaita Sangoma? Hao si waganga wa kienyeji tu. Sasa tumekuwa wasauzi tunawaita Sangoma?
 
hivi ni nani anaeweeza kumtisha Vicky na ile habari yake?? ina maana viongozi wanusika na biashara hiyo au ni mapolisi wa nchi??
 
Tanaznia ipo vitani siku nyingi sema mpaka vita vikikaribia ikulu ndio watawala wanashituka, hata wale wa Sadam Hussein walikuwa wakiimba bado wako salama wakati adui alikuwa sebuleni.
Asiyeamini kwamba vita vimeanza siku nyingi angojee kitanda alicholalia kikichomwa.

Kila mtanzania anamaumivu yake.
Albino wanatolewa sadaka,
Wanafunzi wanafukuzwa shule.
Waalimu hawalipwi.
Wagonjwa mahospitali wanakufa KWA KUKOSA HUDUMA.
mafisadi wanatia kichefuchefu kila mtu.
Viongozi wako likizo huku wakituzomea na shida zetu.
Kazi hakuna.
wasomi wanadharauliwa.
Wafanya biashara wazawa wanaoonekana nuksi.
Machinga kilio cha samaki.
Kila kona inahuzunika.
kikwete kakumbatia washikaji na waliompeleka ikulu na fedha zao.
wananchi tumekua wasindikizaji na macho ya huruma.
Vita gani tena tunasubiri, tupo vitani, kazi iliyobakia ni kupindua kitanda kila mtu alale chini.
 
The was this new report on ITV yesterday. It was very shocking. Imagine mganga amekamatwa na miguu ya albino. Ilikuwa ni habari ya kusikitisha especially after seeing those live pictures. Miguu miwili imekatwa na kuwekwa kwenye mfuko. Worse enough ni kwamba mganga husika alifanikiwa kutoroka. Washirika wake akiwemo mke wake mdogo wanashikiliwa na polisi. Sijui Tanzania tunakwenda wapi. Mimi naona wanaopatikana na hatia wote ya kuua au kukata viungo vya albino wanyongwe hadharani with live TV coverage.
 
Nadhani wakati umefika wakuanza kunyonga watu hadharani ndio hili swala litaisha!!!! I am not even jocking!!!! Ukikamata na kunyonga watu wawili watatu nadhani mambo yatakua safi tuu!!!
 
Ni kweli kunyonga inaweza kusaidia::ila wenye madaraka ya kuruhusu kunyonga wameingia madaraakani kwa kunyonga d u think watakubali
kuwanyonga::mnafikiri masha ni mjinga kuwatetea wauaji wa maalbino
anajua michezo yote mpaka ukitaka uwaziri wa fedha nini cha kufanya!!!
Molaa tujaliee wanawako!!!usiadhibu watanzania wote kwa wauwaji wachache!!!!
 
Tanaznia ipo vitani siku nyingi sema mpaka vita vikikaribia ikulu ndio watawala wanashituka, hata wale wa Sadam Hussein walikuwa wakiimba bado wako salama wakati adui alikuwa sebuleni.
Asiyeamini kwamba vita vimeanza siku nyingi angojee kitanda alicholalia kikichomwa.

Kila mtanzania anamaumivu yake.
Albino wanatolewa sadaka,
Wanafunzi wanafukuzwa shule.
Waalimu hawalipwi.
Wagonjwa mahospitali wanakufa KWA KUKOSA HUDUMA.
mafisadi wanatia kichefuchefu kila mtu.
Viongozi wako likizo huku wakituzomea na shida zetu.
Kazi hakuna.
wasomi wanadharauliwa.
Wafanya biashara wazawa wanaoonekana nuksi.
Machinga kilio cha samaki.
Kila kona inahuzunika.
kikwete kakumbatia washikaji na waliompeleka ikulu na fedha zao.
wananchi tumekua wasindikizaji na macho ya huruma.
Vita gani tena tunasubiri, tupo vitani, kazi iliyobakia ni kupindua kitanda kila mtu alale chini.

Maneno mazito sana .
Hivi Vicky Ntetema matisho anayapata akiwa kule kule BBC UK ama yuko BBC Dar ?
 
Yaelekea serikali yetu bado haijamua kuchukua hatua za makusudi kupambana na hili tatizo na ndio maana hata mauaji ya albinos yanaendelea kika kukicha. Hivi bunge kama lingepisha sheria kwa makusudi kwa lengo la kumaliza mauaji ya albino kuwa kila atakayethibika mahakamani kuwa aliuwa albino, alikutwa na viungo au alishirikia kwa njia moja au nyingine apigwe risasi hadharani lazima jamii ingejifunza kitu na tatizo lingekweisha. Lakini tunaendekeza siasa hata mahali ambapo siasa haina nafasi....au ndio na wanasiasa nao ni wateja wa haya mambo???
 
Maneno mazito sana .
Hivi Vicky Ntetema matisho anayapata akiwa kule kule BBC UK ama yuko BBC Dar ?

Vicky Ntetema aliyapata matisho akiwa BBC Dar TZ. Baada ya vitisho wameamua kumrudisha London na jana tu ndo nimemsikia akisoma habari aikiwa BBC London.
 
Vicky Ntetema aliyapata matisho akiwa BBC Dar TZ. Baada ya vitisho wameamua kumrudisha London na jana tu ndo nimemsikia akisoma habari aikiwa BBC London.

Mbona hasemi nani anayemtishia? Na kwa sababu gani?
 
Sisi wote nio mashaidi wa kweli na mambo ya ajabu katika Taifa letu na pia sisi tunatumaini ni kwamba ni lazima tufanye vile kama yeye alivyofanya kuwa makini sana katika Taifa letu
 
Back
Top Bottom