Ndugu Mkullo ,Shaffiq & Hannif brothers hawalipi kodi , je ulijua haya ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu Mkullo ,Shaffiq & Hannif brothers hawalipi kodi , je ulijua haya ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lunyungu, Oct 7, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ndugu Mkullo
  Salaam sana toka Tarime kupitia hapa JF,
  Baada ya tetesi kwa muda sasa na hatimaye upepelezi wangu umekamilika .Na kwa kawaida JK kazi yetu ni ku set agenda baada ya kuwa tumejiridhisha na kuipa Serikali taarifa .Kama ndiyo hivyo basi leo naleta taarifa kwako na wengineo wote serikali kwamba hawa brothers hawalipi kodi ya Serikali pamoja na kufan ya biashara kubwa mno ya kuchapisha hapa Tanzania .Hawa jamaa wana kampuni yao inaitwa DTP na ofisi zao ziko pale Voctoria .

  Kitu kizuri kimoja ni kwamba wamekataa kutokuwa 10% ili wapate kazi lakini sasa wamekuwa muda muda hawalipi kodi na hata sasa ukifika ukaomba risiti utapewa ambazo hazina rekodi na wana fyatua hapo hapo .

  Ukiwa na kazi wanakupunguzia kwa kuwa watakushawishi usiombe risiti maana hawana na ukiitaka sana watakupa ila watakuumiza bei .

  Ushahidi ninao na nimebaki kushangaa kwamba ni kweli inawezekana kuna mkono wa mmoja wenu huko juu ndiyo maana hawa wahindi wanapeta hivi au ni bahati mbaya wanaiibia serikali nanyi hamna habari ?

  Wazalendo wengine wa JF naamini sasa mtaanza kuelekea huko na kujua haya ninao yasema na Serikali sasa na hasa TRA karibuni kule mjue kama nisemayo ni ukweli ama uongo .

  Ninaufungua mjadala .
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Oct 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hao ni desktop publishing wale karibu na tmj ??
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ndiyo shy ndiyo hao hao ambao mimi nimekamilisha uchunguzi wangu muda mfupi .
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Oct 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi wa hiyo dtp anaitwa arif jinnah
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Lunyungu at it again......
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Oct 7, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Masatu naye; huangalii hoja unaangalia mtoa hoja!
   
 7. M

  Masatu JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  U r right kuna wachangiaji wengine huna haja ya kusoma walichoandika, jina na heading vimetosha kujua watachaondika, believe me Lunyungu is very consistence on this, never let me down!
   
 8. Kipunguni

  Kipunguni Senior Member

  #8
  Oct 7, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwi kwiw kwiwiwiwiwi!!
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145  Baada ya utani sasa mkuu let us dwell kwenye hoja iliyoko hapo.Hebu at once tuwe wazamiaji wa hoja na tuujue ukweli .Mie nina nondo tayari na naomba sasa TRA na Mkullo wajue hilo .

  Asante Masatu kwa micky zako lakini ndiyo tunaenda hivyo
   
 10. M

  Masatu JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mwanawane mwaga basi hizo nondo tuserebuke nazo.... by the way hows Tarime?
   
 11. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Weka evidence zako wenye ofisi zao huko TRA watweza kuwashughulikia vizuri ama find your own insider huko TRA mkabidhi mambo afanye kazi otherwise watahonga tuu na kukwepa kodi wataendelea!
   
 12. L

  Lione Senior Member

  #12
  Oct 8, 2008
  Joined: Dec 1, 2007
  Messages: 115
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hao tone la maji katika bahari,hivi hawa tra wanajua kinachoendelea huku kwenye mahoteli ya kitalii?huku mbugani?wanajua ni vyumba vingapi vinatumika perday?wageni kiasi gani wanalala?wanajua kua vilevi vumikavyo huku havina hata hio stika yao ya tra?
   
 13. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2008
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata kama wangelipa hiyo kodi ineishia mikononi mwa mafisadi...hakuna jema kila kona shida tuu
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2008
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Umeshaona tangazo la TRA! barabara nzuri zinajengwa na kodi yako(nafikiri hii wanaongelea za mjini)

  Laiti kama tra wangekuwa makini na utaratibu wa kodi ukawa salama na huku matumizi yake yasiishie kununulia magari ya wakurugenzi basi hata huku kijijini ninakoishi barabara hizi za msimu zingekuwa hadithi  MKIKUBALIANA KWA KILA KITU BASI MAKUBALIANO YA HADITHI ZA MAPENZI
   
 15. C

  Chuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lunyungu una vielelezo?

  Mwaga hapa hizo risiti...maana kubuni Hukawii...

  Pia Tufahamishe Hatua gani umechukua hadi sasa kisheria?

  labda nikuulize swali...kwa ushahidi wako kwanini umeona Mkullo ndio Responsible kuliko Mkurugenzi wa TRA au Maofisa wa TRA?
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Isipokusanywa inapunguza idadi ya wapiga kelele.  .
   
 17. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Bado kuna wanao taka ushahidi juu ya hili nibandike risit jamani ? Hivi hawa wahindi na kwa niliyo yasema na wanajulikana kwa nini basi makachero wa TRA wasinitafute niwape issue ama wavamie wenyewe waone ?
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  ahahahah Lunyungu,
  TRA watakuja kwako kama huyo mtu ni against SISI M na kwa hiyo nasikia kazi yao ni kufilisi wafanya biashara walio against ufisadi.
  Lakini kwako na fununu hizi hawaji ng'o. Kama nasema uongo subiri kama watakuja, ingawa najua wako humu jamvini pia!
   
 19. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!! wizi mtupu kila kona ya nchi
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hawawezi kwenda kwao maana wanajua kuna baadhi ya mawaziri huwa wanafika pale kuvuta chao na mwisho wana fadhili chaguzi za CCM na hili hawawezi kupinga .Charles Charles ana ushahidi mzuri sana wa hili .
   
Loading...