Mataka bazazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mataka bazazi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lione, Dec 19, 2008.

 1. L

  Lione Senior Member

  #1
  Dec 19, 2008
  Joined: Dec 1, 2007
  Messages: 115
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waungwana!
  Kuna tetesi zimenipitia zikisema kua mataka yule jamaa wa atcl anatabia ya kunanihii wanaume wenzie na kwamba kawafuga wengi hapa town,mwenye ushahidi na hili nplease alete habari,labda laana hii ndo inaua shirika letu
   
 2. T

  TAZARA CLUB Member

  #2
  Dec 19, 2008
  Joined: Feb 6, 2007
  Messages: 45
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  WASWAHILI WANASEMA LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA! hii habari hata mie nimeisikia muda mrefu kwani yasemekana wakati fulani aliwahi kumnaniii... wanamziki Defao hadi akashindwa kuperform jukwaani yaonekana ni mtu wa kupenda mabo hayo. lakini hayo hayana mahusiano yeyote na utendaji kazi. mbona Elton John ameolewa lakini anaendesha vizuri mambo ya business zake
   
 3. mpingo

  mpingo Member

  #3
  Dec 19, 2008
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 64
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Watu wa Holyday in wanaweza kutoa ushuhuda wa karibuni, Staff wa the Sun tunaomba ushuhuda tafadhalini!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ... Hata mimi nimesikia kuwa jamaa anahusudu sana kuvaa ringi za wanaume wenzake.........Ubazazi ukizidi lazima unachofanya mungu atakupiga kofi usifanikiwe.....
   
 5. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,159
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Nasikia sikia tu kwamba huyu jamaa ni mhuni huni fulani hivi wa kwa macheni. Hili lina uhusiani kwa kiasi fulani na poor performance zake
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2008
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Nimependa hii tafsida.
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2008
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Heshima kwako muungwana,
  Mi nadhani la muhimu tunge discuss kuhusu utendaji wake wa kazi katika ofisi za umma.Tungejikita katika kutaka kujua historia yake katika ofisi za umma katika mashirika yote aliyowahi kufanya kazi/ kuyaongoza, kama alifanikiwa ama alichemsha kisha tutathmini kama alikuwa anafaa kuliongoza shirila letu la ATCL na kama bado anafaa kuendelea kuliongoza shirika hilo kwa kuzingatia mafanikio aliyoyapata tangu akabidhiwe ATCL.Haya unayoyaleta hapa sio muhimu kwa maendeleo ya taifa na halina maslahi yoyote ya Taifa labda kama itathibitika kuwa hiyo tabia imeathiri utendaji wake.ni hayo tu wadau.
   
 8. L

  Lione Senior Member

  #8
  Dec 19, 2008
  Joined: Dec 1, 2007
  Messages: 115
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jamani,inamaana hamuoni kua hio tabia inaleta aina flani,ya uzembe?aina flani ya ukichaa
  ambayo kwa namna moja au nyingine inaathiri utendaji,uwezo wa kufikiri wa mtu husika?
   
 9. S

  Semjato JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mwita...
  Heshima mbele...hata kama haitakuwa inaathiri kwa kiwango kikubwa cha kuangusha mashirika yetu kwa jinsi ilivyotokea,ikibainika ni kweli huyu bwana anahusika na yanayosemekana,hii sio tabia inayokubalika..haikubaliki kwa imani ya dini yake wala haikubaliki na jamii tunayoishi,hivyo hakuwa anafaa kuongoza!hawezi kuwa kiongozi wa kutolewa mfano.Hii inaonyesha jinsi ambavyo haheshimu imani wala jamii anayoishi ndani yake na ni wazi hawezi heshimu mali za jamii alizokabidhiwa kuzilinda...historia yake mbaya inatoa uwezekano wa kuwa fisadi pia since hajali utu,maslahi,utashi wala matakwa ya jamii anayoitumikia.
  wasalaam.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu tatizo la ATC ni zaidi ya Mattaka na chairman Nyang'anyi.kwa wafuatiliaji wa mambo ya ATC jaribuni kujiuliza nini Mramba alijaribu kufanya kipindi fulani akiwa waziri akashindwa,jiulize nini mahusiano YA MRAMBA NA SHIRIMA(KIBOSILE WA PRECISION).jiulize haya matatizo ya ATCL yana mkono wa nani na kwa faida ya nani? leo hii ndege za ATC zimesimama,nani anafaidi? mwisho msisahau kifo cha captain Mazula,nini ilikuwa role yake katika kusimamia ATCL.basically problems za ATC ni far deep na hata ukimleta MD wa BA au DELTA AU QANTAS etc haitasaidia maana itakuwa ni sawa na kumleta Ferguson Yanga au Wenger Simba,will it help bila ku solve basic problem?
   
 11. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2008
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tetesi?
  Kuna website(ninavyosikia) ya Utamu. Bofya huko!

  Otherwise I concur with Mwita...


  .

  Liangalie(lione);)
  Nafikiri pia huyu Jamaa ameshawai kuchambuliwa hapa. Chukua mda kidogo wa kutafuta kabla hujachemsha
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Mataka ndio anashikishwa ukuta au anashikisha?
   
 13. m

  mwanibhoyo Member

  #13
  Dec 19, 2008
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua haya ndio baadhi ya ambayo yanafanya waTanzania wote tuonekane kuwa na ufinyu wa kufikiri. Tunapenda sana mambo ya umbea, ushoga na uzushi usio na maana yeyote katika maendeleo ya nchi yetu. Hapa hoja, kama alivyowakilisha Mwita ni kuangalia utendaji wa mtu binafsi na tumuhukumu kwa hilo. Mwana forum mmoja kasema "ubazazi wake(Mataka) haukubaliki katika jamii yetu na hafai kuwa kiongozi", ni kweli. Amefeli kama role model, lakini je amefeli kama mtendaji mwenye utaalam wa biashara? Hii ndio hoja ya msingi, na ningependa tujadili hili. hayo ya ubazazi wake, pelekeni utamu kwa wenye ufinyu wa fikra!!
   
 14. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2008
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hivi mnaopinga mmechukua muda kuelewa mtoa mada anataka clarification kuhusu nini?Let me remind you: MATAKA BAZAZI?

  Hili ni jukwaa la watu maarufu (celebrities) na kama ujuavyo,maisha ya watu wa aina hiyo huwa kwenye spotlight mara kwa mara.Suala la utendaji wake linajadiliwa huko kwenye jukwaa la siasa.Hapa mada ni Mataka ni bazazi au la.

  Nike kwenye hiyo ishu ya ubazazi.Ni kweli huyu jamaa ana tuhuma lukuki kuhusiana na suala hilo.Inadaiwa kuwa kamtindo hako kalishawahi kuathiri ndoa yake (sina hakika kama bado yuko pamoja na mkewe).Inaelezwa pia kwamba wakati flani aliwahi kumfanyia mchezo mchafu aliyekuwa mtangazaji mahiri wa televisheni,tena kinyume na ridhaa yake.Wanaojua stori hiyo watakueleza namna gani ushenzi huo nusura upelekee mtangazaji huyo kujitoa roho hasa baada ya mkewe kujulishwa kuhusu tukio hilo.

  Inaelezwa pia kwamba hivi sasa anatoka na "kibonge" mmoja anayejihusisha na fani ya mitindo na mavazi.

  Kwa mujibu wa sheria za nchi yetu,sio tu kuwa Mataka hastahili kuwa presidential appointee bali anatakiwa kuwa Segerea na akina Babu Seya.Why?Bcoz kujihusisha na tendo la ndoa kinyume cha maumbile na homosexuality is a crime (kwa mujibu wa sheria zetu).Whether kosa hilo ni sahihi au la,hiyo ni ishu nyingine inayohitaji thread ya pekee.Ch muhimu hapa ni kwamba kuna mtu anavunja sheria na anatenda mambo ambayo hayakubaliki kwa mujibu wa mila na desturi zetu.Je ubazazi wake unaathiri utendaji wake?Answer to that is open to anybody's interpretation.

  Mwisho,najua kuna watakaodai ushahidi.Well,wanaweza kuwauliza watu wanaomjua vema na watakutana na stori hii hii na pengine zaidi kwani data nilizonazo ni miaka kadhaa iliyopita (na time is essence kwenye mambo kama haya,the more it passes the more one becomes so addicted to them)
   
 15. share

  share JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2008
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,293
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Duh! mambo yote hadharani. Kumbe Mattaka alikuwa na uwezo wa kuongoza ATCL ya TIGO yake!!! Hahahaha. Kumpa ndege ni kumuonea. Si unaona, makoloni yake ya ubazazi wa TIGO yanapaa hewani kama kawa! Hakuna 500 technical faults in TIGO operations!
   
 16. M

  Mkora JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yeye ndio popo bawa bora angepewa kazi ya CEO Dawasa idara you kuzibua mifereji michafu
  Nadhani ingemfaa sana maana shughuli anaipenda
   
 17. C

  Chechenya Member

  #17
  Dec 20, 2008
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu anayejua kwanini Mataka aliondoka PPF atuambie
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Mkuu anayejua kwanini Mataka aliondoka PPF atuambie

  MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE USIULIZE TENA UNAWEZAKATA TAMAA NA MAISHA NDUGU

  TUJIULIZE KWA NINI AKUPEWA KUINGOZA KAMPUNI YA ""TIGO"" AMA DAWASCO

  NAHISI WATU WATEJA WANGEKUWA WANALIPIWA BILI ZAO ZA MAJI BILA KUJIJUA

  AMA KURUSHIWA TIGO KWA KWANDA MBELE

  AHSANTE MKUU
   
 19. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu Bishanga,

  Unafananisha usiku na mchana na kwa kifupi majibu yake ni mepesi kabisa. Endapo ungemleta MD wa BA au DELTA AU QANTAS kama unavyodai, basi ninahakika hawa watu wangekuwa wamekwishajiuzulu nyadhifa zao pindi wanapoona kuwa hali iliyopo iko nje ya uwezo wao tena. Sasa jiulize hawa wa kwako wewe wanangoja nini?
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Anashikisha wenzaake
   
Loading...