Recent content by Kinyozi wetu

  1. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Itakuwa kasoma Matthew huyu mkuu, tumefanya sana biashara na kutengeneza pesa sana pale.. kipindi cha Lucas.
  2. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Ngoma Ngumu

    Hii kweli ni ngoma ngumu boss Kudo na mitaa ya Nairobi inaenda kushangazwa na kiumbe anaetembea bila kuacha alama "Miguu ya Kuku".
  3. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    The bold aache longolongo na story zake za ngangamkeni, ajifunze kutoa burudani mubashara kama huyu kijana. Big up kwako Steve Mollel.
  4. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Brother umefanya nimsahau Dr. Shika kwa muda (joking)... Kazi nzuri keep it up man!
  5. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Vi-wonder 30.
  6. Kinyozi wetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Dereva amgonga trafiki aliyemsimamisha na kukimbia

    kuna mtu humu ndani anajiita DAWA YAO.
  7. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

    Acha kuleta upumbavu wako hapa sio jukwaa la matangazo hili wala sehemu ya udalali.. Tumia ubongo wako vizuri. LOFA.
  8. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwenye Ajira portal nimejaza bado inasoma 92% completed. Ni nini tatizo?

    lazima kuandika kwa mkono????
  9. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

    Love won’t put food on my table — Genevieve Nnaji, Actress Love can’t put food on my table. The fact is that the man in question is jobless. That will only succeed in frustrating whatever I put in the relationship. So, I won’t marry a jobless man, nor will I advise anybody I know to do so. No...
  10. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha SKONGA, EATV. Kitendawili kinachohitaji Majibu

    Hahaa niliiona hii kidogo machozi yanitoke kwa kicheko cha uchungu.
  11. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi kupunguza ulaji mafuta kwenye gari lako

    Kupaki Mchepuko Bila Sababu Za Msingi Ni Mzigo Usio Na Lazima
  12. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania When you are jobless!

    Naomba kila mtu atoe ushuhuda wa nini kilimpata au alipitia madhira gani kipindi hana kazi. Inawezekana ni kipindi umemaliza masomo na umerudi nyumbani na umekaa muda mrefu bila kazi au ulikuwa umesimamishwa au kufukuzwa kazi. Familia, marafiki, ndugu na jamaa walikuchukuliaje.
  13. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Anajibu maombi nimempata wangu wamaisha

    Kwa Mama Kamche Hapo Umenikumbusha Mbali Sana, Kitimoto Na Castle Lager Baridi Kipindi Nipo Chuo.
  14. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Una Million 7 Kijana.. Mzee Alishasema 'SIJARIBIWI'
  15. Kinyozi wetu

    JamiiForums Tanzania Barua yangu kwa Baba

    Ngoja Nipite Zangu Kimya Maana Huyo Baba'ako Unaweza Mpa Ushauri Ukajikuta Umeishia Mahakamani!
Back
Top Bottom