Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

Inategemea anamipango gani na akili yake ikoje ? Ila ni jobless na amekaa tu akisubiria mana ishuke never
 
Unapotaka kumtenga mwanaume asiyekuwa nakipato kwanza lazima ujichunguze wewe unaishi katika familia gani wengine unakuta kwao wamechoka then anajifanya kumtaka mwanaume mwenye pesa

Kwampango huu mbona wadada kazi mnayo na msipoangalia mtaishia kujiuza tu hebu tathimini mtaani unakoishi wakaka wenye kipato na wasio na kipato wapi wengi je kweli wote mtaolewa na wenye kipato?

Tatizo wadadamkiwa jf mtajikweza sana wakati kwenu kila siku ni chai maharagwe
 
Kwamba huwezi kuolewa kabisa na mtu asiye na kazi?!
Kwa maana ingine pesa(kazi) ndiyo itakayokuoa? Hakuna mapenzi hapo ni pesa tu, huoni kwamba unadhalilisha utu wako?
Nashangaa hapo utu wangu unadhalilishwaje!! Tutakula mapenzi? Bills za maisha yetu zitalipwa na mapenzi!!
Hebu tusiongelee ulimwengu wa kusadikika,tunaongelea reality ficus. Mwanaume hauna kazi unaoa ili ugundue nini!!!! Na ni kwanini usiwe na kazi kwanza!!!
 
Unapotaka kumtenga mwanaume asiyekuwa nakipato kwanza lazima ujichunguze wewe unaishi katika familia gani wengine unakuta kwao wamechoka then anajifanya kumtaka mwanaume mwenye pesa

Kwampango huu mbona wadada kazi mnayo na msipoangalia mtaishia kujiuza tu hebu tathimini mtaani unakoishi wakaka wenye kipato na wasio na kipato wapi wengi je kweli wote mtaolewa na wenye kipato?

Tatizo wadadamkiwa jf mtajikweza sana wakati kwenu kila siku ni chai maharagwe
Hebu soma mada kwanza uielewe, mada inaongelea jobless au mwenye kipato kidogo?
Wahenga walisema "kuzaliwa ktk familia masikini sio kosa lako bali kuolewa na mume masikini ni kosa lako mwenyewe".
Sio maneno yangu ni ya wahenga hayo.
 
Hawa Wahenga ni wanatokea mkoa gani sisy?
 
Either You marry a job or a man. You marry a job then you become a cheater, you marry a man..
 
Nashangaa hapo utu wangu unadhalilishwaje!! Tutakula mapenzi? Bills za maisha yetu zitalipwa na mapenzi!!
Hebu tusiongelee ulimwengu wa kusadikika,tunaongelea reality ficus. Mwanaume hauna kazi unaoa ili ugundue nini!!!! Na ni kwanini usiwe na kazi kwanza!!!
Sasa umenifumbua macho kumbe wengi wa wanawake walio kwenye ndoa wameolewa kwa kufuata pesa na si mapenzi ya dhati!

espy ww ukiwa na kazi nami sina na tumependana siwezi kukuoa? Kwamba itanilazimu niendeleee “kupambana na hali yangu” mpaka nitakapopata ndiyo nikuoe?

Kwamba ww huwezi kuishi na mwanaume asiye na kazi ukajitahidi kumhudumia kwa hali na mali mpaka hali yake itakapokuwa sawa?

Wahenga wanasema," katika kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke”.
Kwa muktadha huu nachelea kusema huyo “mwanamke” ni mama na si mke.
 
Hebu nikuulize kwanza, unaelewa mantik ya Adamu kuumbiwa kila kitu ndio Hawa akafuata? Unaelewa maana ya kuwa mume!! Utajisikiaje ikiwa mkeo ndio anakuhudumia kwa kila kitu? Na mahari nani atatoa? wewe au mkeo?

Kumbe ulikuwa haujui kuwa huyo mwanamke ni mama!!!
 
Kupendwa kunategemea namtu anayekupenda.

Amin amin nakuambia niwanawake wenye njaaa tuu ndo wanaoweka vigezo vyakazi au pesa.

Lkn mwanamke asokua nanjaaa huitaji Aman tuuu.

Refer ..Zamaradi na ruge.....

Mobeto,zari ma diamond.

...je hujawah Ona mwanamke mwenye njaaa anamuacha mtu wake kisa hana pesa ??????.( lkn still anataman muhun aendelee kumla?).

Je hujawah kuona mwanamke asokua nanjaaa akimpenda mwanamme fukara ??? Asokua nakitu ( kisa tu yamapenzi).

Ngoja nikushauri....Humu JF huwezi kupata jibu sahihi LA swali lako ,,sababu wanawake wahumu wengi ninjaaa na shopkeepers!!.
 
Hebu nikuulize kwanza, unaelewa mantik ya Adamu kuumbiwa kila kitu ndio Hawa akafuata? Unaelewa maana ya kuwa mume!! Utajisikiaje ikiwa mkeo ndio anakuhudumia kwa kila kitu? Na mahari nani atatoa? wewe au mkeo?

Kumbe ulikuwa haujui kuwa huyo mwanamke ni mama!!!
Adam aliumbiwa Hawa kama msaidizi wa kufanana naye na hii haimanishi kwamba Adam alitakiwa kufanya kila kitu kwasababu tu Hawa ni msaidizi.

Unataka kusema kuwa “mume” ni kuwa na kazi/pesa? Kwamba yeyote mwenye kazi/pesa tayari ana sifa za kuwa “ mume”? Kama hii ndio sifa ya kuwa mume babu/baba zetu wasingeoa hakika na pengine tusingekuwepo duniani.

Mke akinihudumia kwa kila kitu sio mbaya ndiyo maana halisi ya ndoa inapojidhihirisha (kwenye shida na raha). Au mwenzangu unaitafsiri vipi ndoa? Kwamba ni mwanaume tu ndiye anayetakiwa kumhudumia mke kwa kila kitu?

Kuhusu mahari haina shida mwanaume yeyote anayeamua “kuoa” mahari atapambana kwa namna yeyote aipate regardless ni jobless.

Nashukuru kwa kukubali mafanikio ya mwanaume yeyote yule huchagizwa na mama yake.
 
Back
Top Bottom