Kinyozi wetu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 324
- 194
Naomba kila mtu atoe ushuhuda wa nini kilimpata au alipitia madhira gani kipindi hana kazi. Inawezekana ni kipindi umemaliza masomo na umerudi nyumbani na umekaa muda mrefu bila kazi au ulikuwa umesimamishwa au kufukuzwa kazi. Familia, marafiki, ndugu na jamaa walikuchukuliaje.