Recent content by kinjaanjaa

  1. K

    Kinjaanjaa

    Niuza machine ya kufyatulia tofali ya inchi 6 manual bei ni maelewano ipo lindi mjini.
  2. K

    Je, Maisha yako yanategemea ajira pekee?

    ujumbe umegonga mahali pake
  3. K

    Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

    hujachelewa mimi nipo hebu inbox
  4. K

    Kama una akaunti za Instagram, Whatsapp na Facebook ila huna blog? Jikague..

    elimu inafaa sielewi unaposema kumiliki blog yake kwanza blog ni kitu gani? yawezekana kwangu ni manufaa makubwa hebu tiririka kidogo
  5. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nifundishi kuweka mzigo ladbrokers nibet
  6. K

    Ushauri: Anataka kuwa na mimi muda wote wakati ameniacha

    huyo hana nia mzuri na wewe atakupotezea wakati fanya yako naye aende vyake
  7. K

    Kwanini ununue mboga? fuga kambale nyumbani kwako kwa kutumia nailoni tu

    mimi nipo lindi vijiji natamani kufuga kambare ila sina utaalamu naomba msaada cm 0715 289 753
  8. K

    Habari za miaka Wajasirimali?

    Nintamani biashara ya ufugaji samaki kambare naomba msaada nina eneo robo heka lindi vijijini
  9. K

    kinjaanja

    Ninahitaji msaada wa kitaalamu wa namna ya ufugaji samaki aina ya kambare na perege nipo lindi vijijini
  10. K

    Natafuta kazi ya Clearing & Foward

    hajapata kazi hadi hii leo wandugu msaada plse
  11. K

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Jamani mimi nipo Lindi nina bwawa heka moja natamani kufuga samaki aina ya kambare , perege na kamba wa maji baridi sasa mtaji sina nahitaji mwekezaji tushirikiane
  12. K

    Hudhurieni kozi ya mbinu za kufanikisha kupata kazi

    mkuu weka details wengine yatupita tafadhali
  13. K

    Toa marks zako kati ya kumi kwa sura hizi ambazo ni common kwa jamii yetu bongo

    jamani jamani no.6 naomba profile yake yaani amependeza isay wacha bwana
  14. K

    Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Lindi mabomo yanarindima ila kwasababu washabiki na wanachama wa cuf hataki kutoka ofisi ya mkurugenzi wa uchaguzi jimbo pale manispaa
Back
Top Bottom