nimeona tangazo kweye blog nyingine sio Jamii forums juu ya mafunzo ya mbinu za kufanikisha kupata kazi, jamani huyu dada anajua anachokifanya vijana hamtaki kuchukua hatua mfanyweje? Mimi nimepiga simu kufuatilia nimeshangaa sana kuona mambo watanzania wanayofanya sema watu hawataki kujifunza wanajua sana watanzania lakini wanasota sana kwa umaskini