Recent content by KIMALIKE

  1. K

    Natamani kuivunjavunja line yangu ya Tigo

    Jamani awa tigo awafai kabisa kwani unaweza kua na shida upo sehem mbaya ukakopa mda wa maongezi basi utajuta utatumiwa meseji ongeza salio kwenye sm yako nawakati una ile ela ulio kopa mi nawauliza inamana ile ela ulio kopa sio salio au? wanatuibia sana awa.
  2. K

    nimeshapata

    Hongela sana mkuu,
  3. K

    CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

    Sio kweli nape analolote kazi kuiga tu,na pia wananchi saizi awadanganyiki. R.I.P CCM
  4. K

    Nafasi za kazi zoom zinaajiri kweli?

    Kilasiku naaply lakini no respond!!!!
  5. K

    We MBIBI umechemka kwenye video ya mhe.Temba!!

    Binafsi namshauli yule bibi akaimbe kwaya amuimbie muumba wake umri umekwenda ule ni wakati wa kumrudia mungu, ajue kua yuko kwenye finali saizi, Eti nasikia yuko kwenye kikundi cha wanaume ataweza mapanga ya wanaume???????
  6. K

    Kanumba anatosha!!!!!

    Wanaweza wakandika abali nyingine tu na sio za k ata ivyo wajue ata ao wanao wauzia wataacha kununua magazeti yao kwani awapendi izo abali, zinawatia uchungu.
  7. K

    Kanumba anatosha!!!!!

    Jamani magazeti ya udaku tumeshoka kuandika abali za kanumba sio ishu na ii ya leo yakusema kaonekana tabata mmezidi mwasheni watu bado wana majonzi alafu nyie mna andika uongo uo mjue kua watu wana umia sana acheni apumzike kwa amani.kwanzia sasa fungeni kabisa kuandika kuusu marehem yaani nyie...
  8. K

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Kusema ukweli mi naona aya magazeti ya udaku yamezidi kuandika abali ya marehemu kanumba inatosha wakumbuke kuwa watu wengi wameumia sana na uu msiba kwaiyo kwa kuendelea kuandika abali ina wauzu nisha watu sana. Waachane na watu wanao taka kutoka kwa kupitia marehem kwani watu watasema mengi...
  9. K

    Nimeshinda Millioni Kumiiiii!

    Kuna ulazima wa kuuliza kwenye izi kampuni usika manake watu wanashiliki lakini wanaishia kukatwa ela za sms tu ila kushinda kiukweli ni ndoto, wanashinda tu watu wa matangazo wakina kibera feki.
  10. K

    Renatus Mkinga; jiandae kuchukua jimbo, unafaa sana!

    Uyo mzee si ndio yule alie shinda zile milion mia za voda com? kwa kuanzia apo amezifanyia nini zile pesa kama kweli aya ongeayo ana weza kuya timiza akipata nafasi.
  11. K

    Shambulio la wabunge na TBC1 reporting

    jamani awa magamba wameshindwa wanataka kutuondolea majembe yetu cdm imefunikwa na damu ya yesu so wanakazi ya ziada.
  12. K

    Msiba mkubwa

    Pole sana mkuu mungu ailaze roho yake pema peponi.
  13. K

    Asent Benki Kuu kwa kuongeza muda wa kutoa taarifa zetu kwenye mabenki

    Peleka araka mkuu isije ikafika tena ded line ikakuta bado manake wa bongo kwa zima moto,utaona watu awatapeleka ikifika bado siku moja tena utakuta watu kibao ndio wana kimbizana foleni kibao!!!!!
  14. K

    Mwanafunzi wa chuo saut akutwa amefariki maeneo gamba beach.

    Jamani tena uyo mama mfiwa alikua na msiba ivi karibuni wa kaka yake na marehem, mungu ampe faraja uyu mama.coz it pain more.
  15. K

    Askofu mwingine adakwa na unga

    Da nashindwa kuelewa na uyo nabii frola mbona simwelewi manake jinsi alivyo jichuna!!!!!!!!!!aya siku za mwisho kutakua na manabii wa uongo ngoja tuone.
Back
Top Bottom