We MBIBI umechemka kwenye video ya mhe.Temba!!

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wapendwa,Huyo bibi kwenye video ya mhe.Temba,(Wimbo Ni wewe)Mmeicheki?HAPANA siyo sawa.Natamani niingie kwenye screen nimlambe bakora huyo bb aliyeimbishwa bongo flavour.Cjui twendako..
 
mm binafsi naipenda...kwa maana yakunichekesha....

BTW hivi mwenye wimbo ni bb au temba?
 
bibi anakwambia utu uzima dawa...kwa iyo temba kama vip nanga itapaa pale...lol...
 
Wapendwa,Huyo bibi kwenye video ya mhe.Temba,(Wimbo Ni wewe)Mmeicheki?HAPANA siyo sawa.Natamani niingie kwenye screen nimlambe bakora huyo bb aliyeimbishwa bongo flavour.Cjui twendako..
Mijitu minigine bana! sasa hujaelleza kachemka nini!
 
Mijitu minigine bana! sasa hujaelleza kachemka nini!
Khaa!Mara hii nimekuwa MIJITU MINIGINE?Wat do you mean?Ny,Video umeiangalia sawa sawa?Umri ule ur mamy o ndgu yako yoyote anaweza fanya ivyo?Kama Anaweza,Gud.2me cyo kabisa.Ol n ol mi cyo JITU bali ni mtu.inawezekana nna matatizo ya kimtazamo.Ktk ilo naweza ku ku jaji Malezi hayakuiva sawa sawa.Ni wale waleee...Sor cjatukana mku
 
Kweli kbs.... Mi yule mzee hajanifurahisha hata kdg km ndio kutafuta ela bora angefunga ubuyu na km ni umaarufu bora angeimba kwa stail nyingine km taarab au nyingine yoyote tofauti na bongo fleva,,,,,,, kachemsha sana,,,,, style na umri tofauti kbs,,,,, achape tu lapa,,,,,, kwanza bongo fleva na kujifunga ushungi wapi na wapi,,,,,,,,,
 
Maendeleo yana "vituko". Entropy and the arrow of time moving from the simple and familiar to the complex and unfamiliar.

Wenyewe wanakwambia age discrimination is as bad as racism, na bibi ana haki zote za binadamu, na haya mambo ni katika mpango mzima wa "wanawake wanaweza", ndiyo usawa wenyewe huo, inabidi uchoke tu.
 
mwenye namba zake yule bibi pls aniinbox humu 0717**4**12 nikale nae raha
mana kuna msemo kausema mule kwenye ile video kua mtu mzma dawa na ng'ombe hazeeki main,
nataka kumpelekea moto had ashike adabu
nadhan hakufunzwa na mamaye,sasa atafunzwa na sisi..
 
Nitahakikisha kesho nakaa kwenye luninga hadi niuone.
Sijawahi ona video yake, nausikia tu redioni.
 
Binafsi namshauli yule bibi akaimbe kwaya amuimbie muumba wake umri umekwenda ule ni wakati wa kumrudia mungu, ajue kua yuko kwenye finali saizi, Eti nasikia yuko kwenye kikundi cha wanaume ataweza mapanga ya wanaume???????
 
Back
Top Bottom