Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Hivi nyie sina mna vizazi?? Zaeni na nyie muone utamu na uchungu wa kulea, tena ukute mmezaa mashoga sasa sijui tuwalaumu au? Kwa umaskini tulionao bongo mtoto anaigiza analipwa nimkataze ili tulale njaa au? La msingi ni kumfundisha na kumkanya asipofata ushauri basi unamuombea na kubaki kuumia, mtoto hachungwi tena hawa watoto wa tisini ndio kabisaaaaaa utapiga hadi utaua.
 
Msimlaumu huyu dada mlalamikiwa kwa kifo cha Steve Kanumba kwakusema uongo kuhusiana na age yake! Mbona hata raisi wa nchi yenu naye ni muongo? Alisema haijui Richimond lakini swahiba yake akamtoa nishai kua anaijua na hajakanusha? hii ndio asili yetu wabongo.
 
Gazeti la Ijumaa Wikienda j3 litakua na kichwa cha habari; "KANUMBA AKUTWA NA MPENZI WAKE LULU". Ndo nipo hapa natengeneza udaku baadae napeleka kwa mhariri. Chezeiya Shichang'aa mjasiriamali wewe!
Shi"chang'aa" -> Shi"gongo"
 
Kusema ukweli mi naona aya magazeti ya udaku yamezidi kuandika abali ya marehemu kanumba inatosha wakumbuke kuwa watu wengi wameumia sana na uu msiba kwaiyo kwa kuendelea kuandika abali ina wauzu nisha watu sana. Waachane na watu wanao taka kutoka kwa kupitia marehem kwani watu watasema mengi sana anaweza akaibuka mwingine akasema kanumba kafufuka kwaiyo wasiwasikilize na kukataa kuandika uongo wao, KAMA NI WENYEWE WANATUNGA TU WAACHE MARA MOJA.
 
acheni kupayuka jana, juzi na siku za nyuma mlikua mnawataja hao mapedee wenye uzto kuliko kanumba na aliesababisha hayo yote ni lulu kwa ukahaba wake. Waligombana kwa ajili ya cm je alikua anaongea na baba yake akitaka kujua kama bdo yuko tution? Msilete za mkutwa na ngozi ndo mwizi. Ni wangap Tz wanafanya ivo. Huyu kindegaten hakua na shida ya hela bali ni pepo la uzinzi.
Lakucha mbe...

Hata hao mapedejee whatever u call them walikuwa wanambaka,kisheria ukifanya ngono na underage(under 18 tanzania) UMEBAKA!haijalishi nani na nani walifanya,ukishikwa wewe umebaka sidhani kama utajitetea mbona fulani anafanya.
 
Sishangai habari hizo kuonekana kwenye magazeti ya udaku. Wiki ijayo yatauza zaidi mara dada anayedai kuzaa na huyo msanii atakapowasili dar kama wanavyoahidi.
 
Mengi yatasemwa sana kuhusu Kanumba lakini ukweli ni kwamba
alileta mabadiliko kwenye Game!na hao unaosema kama alikuwa anawadahlilisha
tungeona wanalalamika au wenyewe ndo walikuwa wanamtia majaribuni?
No one who got righr to judge The Great,except the God only!so shutup!
 
kazi ipo tena kubwa,kama hakimu atajaji kulingana na maoni ya
humu nina wasiwasi na lulu au kanumba.watanzania tu wanafiki!
 
"Kila mtu ana wanaompenda na wanaomchukia" hapa napita tu lakini naomba kuacha kipande cha ushauri..."Mwenda Zake Kaenda, Hofu na Mashaka na Kutokuwa na Uhakika ni Kwetu sisi Tuliobaki"

When our lives comes to an end, will they honor God-given Priority? What kind of story will they tell those who remains?
 
Aliyekufa ameshakufa tu! Tutazame yake mazuri aliyoyaacha na kuyaiga, mabaya tumuachie yeye na mungu wake.
Kupenda pia hakuna umri, ila siungi mkono ngono kwa ujumla wake, kama marehemu alikuwa mzinzi hilo siliungi mkono hata kdg Wajameni.
 
muanzisha thread cjui kama alikua na nia gani, au alitaka nini hasa, all in all sidhani kama huu ni mda wa kumjadili marehem kiaina hiyo, tuwe wastaarabu kama binadam, nobody is perfect so kama alifanya mazuri, yaige, yale mabaya tupilia mbali, sio kuanza kuongea unafiki na upuuzi, na rumous..
 
Back
Top Bottom