Recent content by kijewa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Na ipi tena funguka sie tunajua hii ya pili baada ya kanumba au!!!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya leo: Mzee Sitta na Kisa cha nabii mzee

    sasa hapo hujaelewa nini ndugu mbona inajieleza kabisa hiyo au mpaka upewe na madesa kabisa!!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano ACT Singida

    Kweli kabisa na hao walioshika mabango wamejipanga vizuri na wameyashika vizuri kiasu mpaka inatia raha kwa kweli daaah kweli ACT Wazalendo wako vizuri!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Upumbavu wa Benki ya Tanzania Postal hapa TRA inaumiza, Shame on them

    jamani muwe wavumilivu tu sasa naye anadaiwa kodi ya nyumba, ada za watoto akale wapi sasa na mfumo wenyewe umeshaoza. wakuu wenyewe wanasema ni mwendo wa kupiga tu ngoja nae apige nawe ukipata chaka piga tu mpaka kieleweke!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nigeria Election : Muhammadu Buhari wa All Progressives Congress (APC) Ashinda Uchaguzi wa Rais

    Yeah ni kweli jamaa walitutangula sana tu sie itachukua muda ila tukidhamiria inawezekana sema ndio hivyo umasikini nao ni shida jamaa wakimwaga khanga na hela vijijini huko wameshamaliza kazi!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtu mke mtu mume?

    Huyu 90% ni mwanamke maana swala la ndevu hata wanawake wanazo siku hizi lakini matiti ni nadra sana wanaume kuwa nayo!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hujafa Haujaumbika:Story ya kusikitisha sana

    Mkuu wewe ni shidaaaahhh
  8. K

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

    Mkuu usimshambulie sana amekiri na kujutia alichokifanya ni kumsamehe tu na kumrudisha kundini bado watarudi wengi tu we subiri!!!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Mwenyekiti wa wilaya kuhama chama ndio kupoteza wilaya sijawahi sikia!!! naona hayo ndio maajabu ya firauni!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

    Kwa Tabora afanye kazi ya ziada wanyamwezi kubadilika itachukua muda sana!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Watoto hawa wanahitaji ndugu! watu wa Arusha piteni hapa

    Yeah ila nafikiri kwa kuwa wamezaliwa Tanzania watakuwa na uraia wa TZ ila sijui sheria inasemaje upande wa uraia wa baba watu wa sheria watusaidie ila kwa kweli inasikitisha sana!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mapishi ya wiki

    Bora wewe sie wa kwa mama niwekee wa kushiba shunguli tunayo!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Wanatafuta umaarufu kwa mgongo wa dini eti jihad1 wameishiwa kabisa hakuna atayewanuga mkono hawatamaliza hata wiki watasahaulika kabisa wanadhani TZ inaweza kuwa kama kenya na nigeria wameula wa chuya hawana mashiko kabisa wanachokitaka hakieleweki shwain wakubwa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake nanyi huwa mnaweza kutamani waume za watu instantly?

    Dah nimekukubali uko njema kwa point!!!!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Kiti cha spika kinapwaya

    kwa hiyo wanakoboana na kusagana!!! dah kazi ipo!!!!
Back
Top Bottom