Ratiba ya mapishi ya wiki

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
Habari wakuu na poleni na majukumu

Naomba msaada wenu wa hasa kina dada mniandalie ratiba rahisi ya chakula ya hata siku 5 za juma,niko huku camp sasa mambo ya kujipikia yanakuwa tatizo kidogo mara nyingi najikuta narudia kupika mlo mmoja au miwili inayofanana.

Asanteni na nawasilisha
 
itategemea na ratiba yako zaid mkuu na ulaji wako, ila mimi nakushauri hivi.

J3. chai/maziwa + chapati 1/2 kulingana na ukubwa, mtori na chapati moja, supu, (au vyovyote upendavyo) mana inategemea je unapika au unaenda ktk mgahawa

Lunch: kula wali + mboga upendayo. Dinner: Ndizinyama + unaweza ukawa na kikombe cha chai/juice

J4: chai/maziwa + kitafunwa, supu, au mtori, au tambi + chai

Lunch: Ugali + mboga upendayo + mboga ya kijani. Dinner: Viazi nyama + mboga ya kijani - (juice, chai)

J5: Chai fuata mtiririko hapo juu + kitafunwa upendacho

Lunch: tambi zipike vizuri + maharage yaliyoungwa vizuri tamu sana hii kitu, au nyama ya kukaanga kidogo + chai/maziwa

Dinner: Pata wali/pilau (kama pilau utaweza itakaa vizuri sana) +mboga nzuri + mboga ya kijani

J6: chai as per the above.

Lunch: futali uipendayo iliyoungwa vizuri na tamu.

Dinner: Ugali + mboga nzuri + mboga ya kijani

J7: Chai amua tu plz vitafunwa ni wewe mwenyewe au supu au mtori nk.

Lunch: ndizinyama + maharage yaliyoungwa vizuri, tamu sana.

Dinner: pata pilau ya motooo kula lala.

J8: chai amua

Lunch: kama unaweza tafuta kitu simple ule, ndizi mzuzu + nyama kidogo, tambi + nyama choma, ukishindwa pata Ugali + mboga uipendayo + mboga ya kijani.

Dinner: Viazi nyama + maharage + mboga ya kijani.

J9: mtori /supu + chapati

Lunch: Makande please.

Dinner: ugali/wali/pilau.

NB: Kumpangia mtu ratiba ya msosi ni kazi nzito sana, mfano hapo ingekua mme wangu ungeinjoy maana ningepanga
hata ubloo, pia kuna baadhi ya vyakula sijaweka cozi nina wasiwasi we ni dume unaweza kuona ni kazi tu. pia

wengi tumekalili sana mchana ugali, usiku wali.

ila jitahidi usirudie chakula mara kwa mara, cha msingi jitahudi kwa wiki umekula walau vyakula vyovyote kwa
hivi vya kawaida, ukiachana na vile vya kihoteli hoteli zaidi.

wasalimie.
 
ahsante sana Tamalisa .ni ratiba nzuri sana na nimeipenda.na kukutoa wasiwasi ndio mimi ni mwanaume.
natumai mzee huwa ana furahia sana mapishi yako.Mungu akubariki
 
ratiba nzuri ila hapo kwebye red kwa nini tambi asile usiku coz anaenda kulala tu na pilau akala mchana
 
Tamalisa, hongera kwa kutoa ratiba nzuri, pia umetisha hasa kuanzia J6 mpaka J9.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh... Tamalisa mbona nyama kila siku....

Kweli nyama zimeongoza, sio mbaya unaweza kupunguza siku baadhi na kuweka mboga yako mwenyewe hapo, ila si unajua hiyo ratiba ilimlenga huyo bachela mtoa mada, inakua ngumu kidogo kumpangia mtu aisee, hasa kama ni mvivu wa kupika mwenyewe. Bt kwa sisi mabinti kidogo unaweza panga yako si unajua majiko yetu wenyewe na ubunifu pia.
 
Ila anaweza kutumia kuku na samaki badala ya nyama. Kwani maandalizi ya nyama ni sawa na maandalizi wa kuku na samaki. Kama ana fridge anaweza kununua kuku, nyama, samaki kisha akatayarisha kwa kiasi cha vipande kulingana na ulaji wake. Anaweza kuchemsha, kukaanga ama kuchoma kisha akahifadhi vizuri kwenye fridge kazi yake itakuwa kuchagua ale mboga hizo aidha kwa ugali, wali, viazi, ndizi ama tambi.
 
Back
Top Bottom