Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Nipo Songea kwa miaka kumi sasa. Sijaona cdm wakija kuimarisha chama huku kama wanavyoenda mbeya, mwanza, tabora, kigoma na arusha. Kunani huku? Mnamuogopa nchimbi?

Mkuu usijali, safari hii ufagio huu WA kuwafuta magamba utafika kote nchi nzima. Nchimbi hana lolote, gupo kwenye ignore list zamani sana
 
Nimakosa makubwa sana kumlinganisha JK na Dr Slaa
Dr anauwela mkubwa naamini katika maswala ya taifa.
 
Ccm wakiona hivyo wanakosa usingizi na vile kwa sasa hayani mvuto kwa wanainchi.yatakomaa mwisho wao ni mwezi wa kumi.
 
Muraa Mbowe piga Kazi wacha hao wajinga wakijani wazidi kukodoa macho wakati nchi inaondoka.
 
Mbowe badala ya kupeleka maji kwenye jimbo lake la Hai, anazurura tu kwenye majimbo ya wenzake, asubiri october aone, ubunge atausikia redioni tu

Wacha kujipendekeza kwani wewe ni mpiga kura wa Hai?au unataka mimba ya utotoni?:what:😎
 
Mbowe uwezo wake kiuongozi ni finyu sana, yaani kajimbo kadogo tu ka hai kamemshinda ndio anataka apewe nchi ,dah, hizi bange na viroba ni hatari kwa afya ya akili

Mzee wa tezi dume aliweza chalinze? mbona nchi imemshinda.
 
Karibu Tabora mwenyekiti shupavu,jasiri na mchapakazi..... Tabora tunakuahidi mageuzi makubwa 2015. CCM imewahadaa wana Tabora kwa Muda mrefu,Hawataki tena kuisikia
 
Hivi kansa Mbarouk yupo?.Nadhani kesho atauona mtiti wa kamanda wa anga

Ha! Ha! Haaaa!!!! usaliti ni laana mbaya sana Kansa Mbaruku kutoka kuwa kiongozi wa chama kikubwa hadi kuwa raia wa daraja la mwisho !
 
Watu wa ikulu wamechota hela za watanzania halafu full kujitapa-Shaban Gurumo.
Halafu majinga yanakuja hapa na kujitoa ufahamu na ccm-magamba huh!! si u..k huu! Pumb.mb.vu.Tutawapiga moto tu siku zaja shenzi nyie
 
Hivi UKAWA ilifia wapi?
Pole sana mkuu umesikia huko shinyanga mmeuza magodoro ya msaada kwa watu waliopata maafa , magodoro yaliyotolewa na wahisani kwa.. Kweli mnajenga nchi.... Unamjua Hamis Mgeja?? Unamjua Mpesya?? hao leo wote ni viongozi wa ccm na mkuu wa wilaya nususra wazichape leo... poleni sana ukoo wa panya
 
Mbowe uwezo wake kiuongozi ni finyu sana, yaani kajimbo kadogo tu ka hai kamemshinda ndio anataka apewe nchi ,dah, hizi bange na viroba ni hatari kwa afya ya akili
teh teh, yako wapi maisha bora yaliyohaidiwa na jk mwaka 2005? Iko wapi ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya? Ama ni ya kuwaweka ndugu na marafiki ikulu ili waendelee kuwakwapulia watanzania? Kama kina shabani gurumo?
 
Hii kanda ni muhimu sana maana wanyamwezi bado wapo usingizi wa pono wanahitaki kutolewa matongotongo

Kwa Tabora afanye kazi ya ziada wanyamwezi kubadilika itachukua muda sana!!!
 
....huyu sifi bado ana meno ?

27.jpg




teh teh teh ..thubutu meno ayatoe wapi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom