BOKO HALALI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 278
- 74
Act leteni raha tumechoka na vyama uchwara
Kweli kabisa na hao walioshika mabango wamejipanga vizuri na wameyashika vizuri kiasu mpaka inatia raha kwa kweli daaah kweli ACT Wazalendo wako vizuri!!!Watu wametulia wakisikiliza kwa umakini-hongereni ACT
Act leteni raha tumechoka na vyama uchwara
Fedha zetu za NSSF katika matumizi sahihi.
Tunashukuru vijana wazalendo walimdhibiti Tundu Lissu vilivyo. Kuandaa kwake mipango yake ovyo kumekuwa bure!
Kweli Mkuu maana MBOWE Alikopa BILLIONS za pesa NSSF Then badala ya kulipa deni anaingia makubaliano ya KIFISADI na SUMAYE na KINANA(KATIBU MKUU CCM)na kukwepa DENI.MBOWE ni KIBOKO...Fedha zetu za NSSF katika matumizi sahihi.
Kweli Mkuu maana MBOWE Alikopa BILLIONS za pesa NSSF Then badala ya kulipa deni anaingia makubaliano ya KIFISADI na SUMAYE na KINANA(KATIBU MKUU CCM)na kukwepa DENI.MBOWE ni KIBOKO...