Recent content by kijembe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

    Mara ya mwisho j.b mpiana alimeza chura akiwa hai ili kuwa kiongozi wa kundi hilo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

    Hakuna kundi la muziki ambalo limewahi kuwa bora kama wenge.Marehemu kabila alipambana jamaa waungane tena ikashindikana maana walikuwa wanatuhumiana Kwa uchawi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

    Kuna kitu inaitwa djojo ngonda hatari kabisa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Safari yangu mkula irrigation scheme

    Inapatikana wapi mdau?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta sperm donor

    Du
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Kwa nini tusiwashauri madaktari na kuwasapoti michango wawalete scotland yard wa uingereza.nadhani hapo ndo 2tapata ukweli.wana jf 2uungane kwa hilo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini walibadilisha rangi za ndege za ATC?

    Jibu ni kuwa hayo madege ya kukodi hawataki yachafuke na marangi ya nchi yenye viongozi wenye fikra duni mawazo hafifu na bila mwelekeo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wenye ccm.

    Kasim majaliwa vs kikwete.huyu ni mjomba wake riz1 kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kutoa harufu mbaya kwenye makende

    Jamani wana jamii kuna mtu hapa kila baada ya kuoga kama baada ya nusu saa ananuka mapumbu na kutoa ukoko kwenye pumbu nini tatzo?
  10. K

    JamiiForums Tanzania TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    Tibaijuka,ole madeye,adam malima,lukuvi tena huyu ni mnafki na alibemendwa udogoni.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Natse: Watanzania imefika wakati tuseme sasa basi!

    Hivi kuna kiongozi aliekuwa anaogopeka kama mubarak?kwa nini watanzania tusiingie barabarani.maana haya mawaziri yetu hayasikii.angalau watu watoke na magari yao wayapaki barabarani ili tuanze mgomo wa nchi nzima.mawasilisha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya nchi nzima

    Muda utafika haya magamba yatatoka.kwani enzi zile kuna mtu aliweza kusema mafisadi?au kuwaambia viongozi wanyongwe hadharani?mdogo mdogo tutafika
  13. K

    JamiiForums Tanzania JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

    Lkn huyu m,k,were cjui vp?au malezi ya utotoni kwa mjomba?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Kigwangwala vp keshaweka mkono?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Elimu Amuaibisha mwl mkuu mbele ya wanafunzi

    Mbn huyu waziri inasemekana anatumia jina la mtu mwingine.kuna mtu wangu wa karibu amesoma nae mda si mrefu ntarusha jina lake halisi
Back
Top Bottom