Natafuta sperm donor

Natafuta sperm donor

Degree zangu zatosha na mtoto hubeba akili ya mama so baba hata akiwa la saba kwangu its ok
katika maisha yangu hapa JF cjawah kubonyeza button ya like katika comment yeyote hapa naomba niwe wa kwanza kubonyeza button ya like kwa comment yako hii
 
Unataka kutengeneza shida nyingine tu, nasikia (narudia,nasikia) watoto wengi WA KIUME,(ikitokea) (sio wote) wanaolelewa na single mothers ndo hawa wanaofukuzana na Makonda leo (MASHOGA), kwa hiyo baada ya muda waoaji wataisha, baada ya asilimia kubwa ya kizazi kinachotengenezwa sasa kuwa kimeharibika
 
pole aqeelah...tatizo watu hawajui tu au wanajua situation halisi unapojikuta kwenye upweke ulopitiliza..hata mimi japo hata miaka 25 sijafika na bado mbali but hali kama hiyo ya kuumizwa na upweke ikiendelea hadi 30 nakuwa mawazo kama yako,yani naimagine nko room na toto langu tunakimbizana wee,tunaruka kitandani basi nifurahi na kusahau ya dunia..but je wewe umefikiria ikitokea ukafarik ghafla ni nani atamlea mwanao kwa mapenzi yote as u know hii dunia ya sasa.
 
Unataka kutengeneza shida nyingine tu, nasikia (narudia,nasikia) watoto wengi (sio wote) wanaolelewa na single mothers ndo hawa wanaofukuzana na Makonda leo (MASHOGA)

Inategemea na ulimpataje, kama ulimtafuta as I do wala hawezi fukuzana na makonda ila kama alikuja Kwa bahati mbaya basi tegemea hayo
 
Inategemea na ulimpataje, kama ulimtafuta as I do wala hawezi fukuzana na makonda ila kama alikuja Kwa bahati mbaya basi tegemea hayo
Ila naomba nikueleze kitu kimoja, kufikia hatua hii kwanza sio tamaduni zetu maana hakuna sehemu mtu anahitaji mtoto ambae baba hajulikani pamoja na kuwa inaweza tokea bahati mbaya. wewe unajiwekaje mpaka kufikia kukwama ivo? ujue kufikia hatua hiyo nafikiri kuna the way ambavyo unaweza kuwa unajiweka kukufikisha hapa (inawezekana) so jikague maana hakuna mtu ambaye yuko tayari kuzaa na mtu ambaye binafsi anaona hana sifa za kumzalia mtoto, maana sio kila mwanamke ana sifa za kuwa mama
 
Na baada ya kuvaa hivyo inaelekea kusikojulikana..
yaani kaka ni hatari, ni kweli iliandikwa kuwa wanawake watatafuta wanaume wa kuwamilikisha majina lakini sio kwa staili hii, duh!
 
Mimi ni mfupi 5'5 / ningefurahi kama ningekuoa/ pls accept me!
pia nimeumizwa sana.
 
Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.

Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).

Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm

Du
 
Ila naomba nikueleze kitu kimoja, kufikia hatua hii kwanza sio tamaduni zetu maana hakuna sehemu mtu anahitaji mtoto ambae baba hajulikani pamoja na kuwa inaweza tokea bahati mbaya. wewe unajiwekaje mpaka kufikia kukwama ivo? ujue kufikia hatua hiyo nafikiri kuna the way ambavyo unaweza kuwa unajiweka kukufikisha hapa (inawezekana) so jikague maana hakuna mtu ambaye yuko tayari kuzaa na mtu ambaye binafsi anaona hana sifa za kumzalia mtoto, maana sio kila mwanamke ana sifa za kuwa mama

Upo sahihi ila kila mtu na maisha yake mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom