Maandamano ya nchi nzima

acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Inaelekea ndio umeamka usingizini sasa hivi! serikali hii ambayo hata wabunge wa chama chake wamekiri imeshindwa kufanya kazi wewe ndio unasema iachwe ifanye kazi?? umeona ripoti ya CAG ukashuhudia ma trilion yaliyoibiwa? unazungumzia takukuru? waliopewa ushahidi wote na SFO kuhusu swala la radar wamechukua hatua ipi? ni suala lipi la rushwa unalolijua lilishugulikiwa ipasavo na hicho chombo? miongoni mwa maazimiao 23 ya kamati teule iliyochunguza richmond ilipendekeza Hosea ang'olewe lakini kwa kiburi cha serikali yupo hadi leo! Funguka macho!!
 
Kuandamana peke yake haitoshi wakuu.
Inatakiwa tujipange kuingia msituni. Naamini wapo makamanda wa jeshi walioguswa na hii hali.
Moja tu akilianzisha
Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa akuna mabadiliko yoyote ktk balaza la mawaziri ,wainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.
 
Muda utafika haya magamba yatatoka.kwani enzi zile kuna mtu aliweza kusema mafisadi?au kuwaambia viongozi wanyongwe hadharani?mdogo mdogo tutafika
 
Kama ni kweli rais anaona watanzania bado hatuelewi madudu ya mawaziri wake niko tayari kuingia barabarani ili aone ni tufani siyo upepo tena
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Vyonbo hivyo unavijua wewe,wengine tunajua ni ufisadi tu,nchi hii yanatakiwa maandamao kutoka pembe za wilaya hadi ofisi za wilaya,mikoa,tarafa,magogoni kulingana na ukaribu,ili mradi demonstration ifanyike maana walahi maisha magumu na ufisadi unashamiri
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Je, kama serikali haifanyi kazi yake ipasavyo, wananchi wafanyeje? Je waende mahakama ipi kushitaki? Na je kwa kuwa mahakama hizo zipo chini ya serikali halifu na hivyo ni wazi kwamba hawatatoa hukumu hasi kwa serikali basi wananchi wafanyeje? Tafadhali tumia akili yako kujibu maswali haya na si masaburi yako!
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Wakubwa wanapoongea ww unachukua kopo la chooni unaenda kuchamba alafu unalala sawa!!alaaaah huna adabu, taabu ya watoto mliolelewa vilabuni she***
 
Maandamano ni mhimu sana na sasa madai yetu ya msingi tutayabadili kutaka hii serikali ipishe yoote tujipange upya...
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Wangapi wameshachukuliwa hatua za kisheria?hao mawaziri wanaotuhumiwa mbona hawajakamatwa mpaka sasa hivi?Watanzania Kama wewe ni janga la kitaifa Kama Jk wako
 
Back
Top Bottom