Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
we ni noi
wewe ni nomaKizazi cha kwanza au first generation baada ya kupata uhuru kilikuwa ni kizazi cha akina Niko Kasanda.
Kizazi cha pili ni cha akina Franco na TP OK Jazz akiwa na akina Simaro Lutumba, Jossy Kiambukuta, Tabu Ley, Sam Mangwana, Madilu System etc.
Kizazi cha tatu ni kile maarufu kama cha Soukous ndani humo kilianza muda kidogo kikienda sambamba na kizazi cha rhumba humo unawakuta Zaiko Langa Langa, akina Vangu, huku kwetu unakuta akina Mangelepa, Less Wanyika, Baba Ilunga ~Nakolele, Mazembe, lakini kilishika chati sana enzi za akina Pepe Kale na Empire Bakuba na Bileku ya Mpasi, Bozi Boziana, Bongo Man, Yondo Sister, Soukouss Masters, Soukouss Stars, Aurlus Mabele, Tshmita, Dally Kimoko, Diblo Dibala na Matchacha Yetu, Tchiko Chikaya etc.
Kizazi cha nne ni cha akina Def Defao na Big Stars, Wenge Musica, Wenge Musica 4x4, Quarter Latie na Charles Antoinwe Koffi Olomide Papa Fololo Mourhino Mokonzi Sarkozy Virus vya Ebola , Wenge Ailes Paries, Zaiko Nkolo Mboka,Wenge Musica BCBG ya kwake Papa Cherry Tshtuka JB Mpiana Mukulu, Wenge Musica Maison Mere ya kwake Ngiama Makanda Le Roi de la Forret Igweee, Extra Musica, na zake zingine za akina Rogaroga, Oxygen etc, G7 Ca va ler.
Kizazi cha tano ndicho hichi cha akina Fally Ipupa DiCaprio, Ferre Gora Shwetan, Fabregas, Kabose, Herritier Watta Plus, kwa kibongobongo ndiyo hawa akina Christian Bella the King of the Best Melodies,