Recent content by kidadaa

  1. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata uniform kama za Qatar Airways?

    Nenda instagram wacheck @tzuniform unaweza pata msaada.
  2. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha mizigo kutoka Indonesia kuja Tanzania

    Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku. Natanguliza shukrani kwa msaada.
  3. kidadaa

    JamiiForums Tanzania JOB VACANCY

    POST DETAILS. EMPLOYER: CORIS COMPANY LIMITED POST: CASHIER QUALIFICATIONS; Diploma in Accounts or any related field Send your CV and Application letter to; salescoris@gmail.com. Or bring it to our Office Mabibo Hostel near Lake Oil petrol Station.
  4. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Uwe una update kwa ile ile link uliyodownload. Kwangu hakuna sehemu inayosema update ila ukidownload inajiupdate automatic
  5. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Jamani mbona makosa yao hayapo kwenye msamaha???
  6. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma mkwawa high school miaka hiyo

    Mkwawa ilikuwa sehemu nzuri sana
  7. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

    Nifah I miss u
  8. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

    Mbona umetaja watatu wakati umesema umesema unakubali wawili
  9. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

    Yaan hakuna kama Rama D kwa kweli
  10. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Wachane watangazaji wanaoiga wenzao

    Kile kipindi kilikuwa kizuri Sana
  11. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    Hili swali hata mimi nimejiuliza sana. Yaan daladala tu ijaribu kupita njia za mkato huwaga ni shughuli sembuse bajaji ambayo umeikodi mwenyewe. Ukodi bajaji ya kwenda ubungo external Hlf ikupeleke buguruni?????? Ukubali kwenda buguruni hlf ulipe na uchukue tena Usafiri mwingine wa kukupeleka...
  12. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu Clouds FM kuiga ubunifu wa E-FM?

    Mm pia nataka kuongezewa aisee nakupataje
  13. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Vitu hivi vinauzwa Mwanza

    Chukua 50 brender. Nipm ur no
  14. kidadaa

    JamiiForums Tanzania Vunja bei Offer: Samsung Galaxy S5 mpyaa bei chee

    S6 unayo bei je?
Back
Top Bottom