Kwa waliosoma mkwawa high school miaka hiyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma mkwawa high school miaka hiyo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Sep 29, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,447
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Je unamkumbuka Mr mbao,unakumbuka makanyagio
   
 2. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu inaelekea wewe ulikuwa rada.Kazi yako kuu ilikuwa kukandika majina ya wanaoenda Makanyagio kwa Mzee Chua na Ilala kwa Nelkon (R.I.P). Bado unamkumbuka Mbao na Tende? Hujamkumbuka Mgimwa mwajiri wako?
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mnamkumbuka matiku???enzi za vurugu za mkwawa na tosamaganga na mkwawa na highland duh ilikua ni vurugu mtindo mmoja
   
 4. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,447
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Daaah wakuu co mchezo,makwaya anaduka lake pale iringa mjini,wali wa Nelkon ulokua mtamu,Tende naye,aaahmilsikua Radah,
   
Loading...