Vunja bei Offer: Samsung Galaxy S5 mpyaa bei chee

Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520
694
2846430a0cfab6d284a4e23474205eb7.jpg

Vunja bei again...offer ya leo, Jipatie galaxy S5 mpyaaa full accessories, black/white color. Storage 16GB, Ram 2GB, Camera 16MP...
Kwa Bei chee. 430k

:kumbuka pia Simu nyingne za kisasa zipoo kwa bei nzuri, nitafute mzee wa kuvunja bei ujipatie simu kali, mpyaaa na original kwa bei ya maelewano.

# 0654776976
#vieloon@gmail.com
 
Ahsante mkuu, very soon nitakutafta, contact yako ninayo. Cha mhimu isiwe feki, na itoke kule makao makuu ya SAMSUNG. Vp inaweza kufika 500?
Inafika kiongozi nitakuuzia 500 tu
 
Mkuu kweli we vunja bei...
Nitakutafuta Mkuu ila zisiwe za akina wuuu-haaa
hah hah ORIGINAL TUPU kiongozi...kuna watu humu nushafanya nao biashara wakafurahi nashangaa hawajitokezi kutoa ushuhuda...au kwakua sio kanisani....karibu sana CHIEF!
 
s7 edge ipoo aysee....nauza 1.4mil mpyaaa with accessories
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom