Vitu hivi vinauzwa Mwanza


P. Majaribu

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,198
Likes
226
Points
160
P. Majaribu

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,198 226 160
Vitu hivi vinauzwa kama ifuatavyo;

(Mawasiliano tafadhali tumia namba hii tu 0763-497700 sitakuwa JF ila kwa simu tu tunaweza kuwasiliana)

1. Fridge aina ya Boss. Bei 500,000/=(Laki Tano)

20120101_042538-jpg.365130


20120101_042559-jpg.365131

Sifa zake;
(a) Aina ya Boss
(b) Size ya kati
(c) Ina warranty ya mwaka 1
(d) Rangi ya Silver
(e) Ina stablizer ndani na ni energy server
2. Sub woofer aina ya Arborder-150,000/=(Laki moja na nusu)

Sifa zake: (a) Ina Bluetooth-unaweza kuunganisha na kupiga mziki ulio kwenye Laptop au simu bila waya (b)Ina spika tatu (c)Ina redio hapo hapo (d)LED Screen
20120101_042628-jpg.365132

20120101_042635-jpg.365133


3. Blender aina ya Geepass-80,000/=(Elfu themanini)
20120101_042652-jpg.365134


Sifa zake: (a) Ina components 4(Kila kifaa na kazi yake tofauti)
- Unaweza kusagia matunda
- Kuchujia juice
- Kusagia nyama
- Kusagia vuingo vya mboga

4. Laptop HP 650-Bei 450,000 tu
20120102_023726-jpg.365137

20120102_023749-jpg.365138

20120102_023759-jpg.365139

20120102_023714-jpg.365135


Sifa zake:
- RAM 4GB
- Hard disc 500 GB
- Processor 2.20GHZ core i3

NOTE: Mawasiliano tafadhali tumia namba hii tu 0763-497700 sitakuwa JF ila kwa Kupiga simu tu tunaweza kuwasiliana.
 
C

chini ya muti

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
247
Likes
134
Points
60
C

chini ya muti

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
247 134 60
nitapata receipt ya EFD?
 
G

ghona18

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
590
Likes
275
Points
80
Age
31
G

ghona18

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
590 275 80
Laptop ni mpya
 
M

mysterio

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,812
Likes
2,052
Points
280
M

mysterio

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,812 2,052 280
gonna call you
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,101
Likes
4,448
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,101 4,448 280
Chukua laki 3 friji.
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,212
Likes
48,013
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,212 48,013 280
Mkuu hivyo vitu ni used au vipya?
 

Forum statistics

Threads 1,239,125
Members 476,369
Posts 29,343,429