Wachane watangazaji wanaoiga wenzao

Wachane watangazaji wanaoiga wenzao

Upo kama mimi...Tv na Redio nina muda mrefu sana....kwangu JF ndo sehemu ya kupumzikiaa
Jf ndio kila ktu kwangu, redio huwa sioni cha kisikiliza siku hizi aiseeee, maana kama ni habari, story, porojo, umbeya, tetesi, gossip, mmu, uchumi, elimu, jf doctor, intelligence, biashara, kila kitu nakipata humu kwa kweli
 
Kila kitu kinapatikana huku ndani!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kile kipindi ni hatari mara ya mwisho kukiskiliza ni 2007 na Dj Malis

Kiss fm walikuwa vizuri sana...kuna jamaa mzambia/zimbabwe alikuwa anaitwa Tobby the Splash, Steve Kafaya, Uncle Sam pia...jamaa walikuwa wazuri sana. Siku hizi wameua hizo radio au wanawatangazaji wasio na vigeo
 
huyu anamsema halison kapigaa saut yake kama yupo kaburini
ananikera kufafanua habari, we msoma habari kama unasoma uzi huu, ni hv bongo hatupendi mbwembwe km tupo kwenye maubiri, yaani anasoma kama anasikitika hivi au anatuonea huruma sisi watazamaji, yaani mwewe kama vile mtu mkuuuuubwa sana.
 
Mara ya mwisho kusikiliza redio ni enzi zile za MW na SW FM zilikuwa adimu sana.
 
Kile kipindi ni hatari mara ya mwisho kukiskiliza ni 2007 na Dj Malis
yani kumbe tupo wengi...Kiss fm iikuwa motoo enzi za Dee7 na dj malis kwenye African Beats.
Pia jumamosi kulikuwa na weekend top 30 ya Ryan seacrest na American top 40 jumapili.
Nilikuwa msikilizaji mzuri haswaa!
 
mkuu bado vipindi vipo ila sio hot kama enz zile mkuu
 
Back
Top Bottom