Recent content by kibokogiziba

  1. K

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    pengo sio mara ya kwanza kumtafuna kikwete maana wana bifu lao. watoe ajenda mioni mwao tujue wazi waache kutumia mianya ya kidini, pia safu hii imejaa ushabiki sana wa kidini. nini maana ya kusema tuwangoje bakwata acheni unafiki makafiri wakubwa nyinyi mnaoleta hoja kwa imani zenu?
  2. K

    CHADEMA Jibuni Hoja hii...!!

    acheni matusi wasomi huenda kwa hoja au mnajua kutukana tu?
  3. K

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    endelea na utafiti huo ipo siku utapata jibu muafaka na murua, pia naongeza maswali mengine -kwanini watu wa kundi fulani wamekua wakilalamikia serikali ya ccm kila siku na wakati cdm nayo inawaita wakaa maabarazani na inasema hawana reseach kwenye maamuzi yao. -kwa nini top leader wa chama...
  4. K

    Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

    kaka umesema kweli kiasi ambacho wenye roho za kutaka kula kwa ghafla bila kua na subira lazima wakutukane. lakini kama hakutakua na mabadiliko zaidi ya kuwatukana hawa CCM tutataga sana na tutapata wakati mgumu sana. wanacheza sana rafu lakini mpira utaelekezwa kwetu, jamani acheni hasira...
  5. K

    Magazeti haya yanachefua-kila siku CHADEMA

    kukosolewa ndo kukua acha kujaa fikra za ushabiki wa soka asiyependa timu yake iguswe hata kama wameshika kwa mkono ndani ya 18. kubalini kukosolewa wakuu.
  6. K

    Live BBC swahili mjadala wa kuhusu posho na mishahara ya wabunge

    nahisi maoni katika jf yana mtizamo mmoja. "narudia kauli ya juma kwanini zito alilete hili baada ya kunufaika na posho za muda mrefu ?' kama kweli sio unafiki wa wazi kawa mbunge muda wote huo hizo posho hazioni ? au ndo anataka kutapika baada ya kushiba na kuhakikisha anaweza kula hata kesho...
  7. K

    Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

    Naona mada hii inajibiwa bila kujua ni nini CDU ya ujerumani hebu ingieni kwenye google muone mchango wa hiki chama kwa kuhakikisha ujerumani inakua nchi yenye misingi ya kikristo pekee ilivyotekelezwa, kisha mseme msimamo na sera za hii CDU inafaa kwa cdm? chama chenye waislamu na wakristo kwa...
  8. K

    CHADEMA washinda uchaguzi DUCE

    yangu macho na siasa za shule maana najua lazima zitabagua baadhi ya fani, jiulize programmer wa computer pale chuo kikuu anatakiwa vipi apotezewe muda wake na hawa wauza maneno? ndo maana vyuo vyetu vinashuka hadhi kila kunapokucha kumbe kuna ajenda ambazo mnawapa na wanakua active kuzitetea na...
  9. K

    Kwa nini wakoloni walitupa uhuru kwa pamoja ?

    Nilipokua najaribu kupitia historia ya bara letu la Africa nilipata maswali mengi ambayo binafsi naomba msaada kwa wenye uwezo wa juu kuliko mimi. Natumai mtachangia kwa wingi ili niwe sawa kimtizamo. 1. Kwa nini wakoloni walitumia nguvu kubwa sana kuingia barani Africa, na zama waafrica...
  10. K

    Mwalimu Nyerere na ukabila

    nimeipenda hii hebu tupeni mengi zaidi
  11. K

    Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

    nakushauri uache uropokaji maana ukubwa sio umri tu bali na busara zinahitajika, imagine wewe ni askari "kwanza ulishawahi kushuhudia varangati la wakurya wakiwa na rungu?" bunduki yako cha mtoto ukizembea ukapewa moja ya nguvu tunakupa jina jipya. so askari wa tz tuseme wamekua machizi...
  12. K

    State department wanavyom-value JK

    tafuta maneno ya kuwaambia watu sio utetaji wa watu wewe mwili wako haunuki ? kama watu wataanza kujadili harufu ya mwili wako itakuwaje? kisha maoni ya kila mmoja kisa tu yuko state yawakilishwe itakuwaje? unajua kaingiaje hapo state unapopazimia kiasi ukiongea na rafiki yako mmoja unasewasemea...
  13. K

    Kubenea safarini India na Sweden leo

    Shujaa wa kweli atatambulika kwa mungu tu sio hapa njiani tena uchochoroni palipojaa ujinga wa kila aina tunapopita. maana naona mnapafanya ka makazi yenu ya milele na kupongezana na kuhisi mnafiki ndie shujaa. kazi kwenu bwana
  14. K

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    kweli siasa inahitaji mashabiki na wala sio watu wa kutoa hoja zenye kujenga. nawambieni "tumieni marehemu kama ngao ya kujiinua lakini jueni wazi kwamba hawa wametangulia sisi ndo tunafuata muda si mrefu" maana naona tiketi za kuishi kwetu zimesainiwa kwamba sisi tutabaki milele. ok kaeni na...
  15. K

    Osama bin Laden killed!

    kama waislamu wajinga wamefundishwa ujinga na wewe na mkeo" acha upuuzi wako kamjaribio mkeo au yeyote ulie juu yake" tena maada ya kutukana waislamu uwache nakuapia kwa yule ambae anaimiliki nafsi yangu ungeongea maneno haya tumekaribiana ningekufundisha adabu na ungeondoa najisi zako mdomoni...
Back
Top Bottom