Magazeti haya yanachefua-kila siku CHADEMA

kukosolewa ndo kukua acha kujaa fikra za ushabiki wa soka asiyependa timu yake iguswe hata kama wameshika kwa mkono ndani ya 18.
kubalini kukosolewa wakuu.
 
yamutokayo mtu kwenye kinywa chake ndiyo yaliyoujaza moyo wake
 
Jambo Leo nasikia ni gazeti la Ridhwani Kikwete. Uhuru linafahamika ni gazeti la propaganda la CCM. Lakini nashangaa kwa nini HabariLeo, gazeti la serikali liingie kwenye mkumbo huu. Nina mashaka mhariri wake haelewi jukumu la gazeti la serikali.
 
Back
Top Bottom