Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
na asisahau vitabi hivi pia
the dark side of jk nyerere
life and times of abdulwahid sykes
sikumbuki waandishi
Jasusi anajifanya havijui hivyo eti.....
na asisahau vitabi hivi pia
the dark side of jk nyerere
life and times of abdulwahid sykes
sikumbuki waandishi
That was not my point. The point is that Nyerere used Kiswahili to give Tanzania an identity. That is huge! Hata Kenya wanazungumza Kiswahili lakini Njonjo was opposed to making it a national language. Uganda Museveni ameshindwa kukifanya Kiswahili a national language.
Wewe mwongo au humjui Nyerere. Unfortunately wakati wa Nyerere hatukuwa na internet, lakini the man was curious na alitaka kusikiliza upande mwingine unasemaje, hata kama ni kumdhihaki. Nyerere alianzisha column kwenye Daily News " What they say about us" ambayo ilikuwa inachapisha makala kwenye magazeti ya Uingereza ambayo yalikuwa yanakosoa Tanzania na sera zake.
You simply do not know what you are talking about and I wish you would shut the hell up!
Really pruned from its roots?, please fafanua...Tanzania is not identified by kiswahili. Do you want to tell me all other nations have been identified by their languages? what a point.
Swahili as it should, suffered a big blow from Nyereres BAKITA by being intentionally pruned from its roots.
Habari zenu jamani?!
Naomba nianze kwa kusema ukweli kwamba mimi sikuwepo kipindi cha utawala wa Mwl na hata alipofariki nilikua mdogo sana hivyo sikuwahi kujua kwanini watu wengi walikua wanampenda sana huku bado kukiwa na mambo mengi hasi yanayosemwa juu yake.Nafurahi kwamba mwaka huu nimeweza kutumia muda wangu kiasi nikasoma vitabu kadhaa kumhusu...makusanyo ya hotuba zake pamoja na vitabu alivyoandika mwenyewe.Kutokana na niliyoyasoma niliridhika kwamba sifa zote anastahili...pia kukosolewa maana yeye kama mtu mwingine yeyote yule makosa hatuwezi tuyakwepa.
Katika vitu ambavyo Mwl alivisimamia haswa ni usawa.Hakutaka kabila moja lijione/jisikie liko juu ya jingine na kutengeneza matabaka.Sasa swali langu nnaloomba mnisaidie ni hili....ule msemo au sijui niyaite madai ya kwamba Mwl aliwahi kusema makabila fulani hayafai kupewa uongozi wa juu wa nchi ni wa kweli au ni propaganda za waliomchukia?!Nauliza hivi kwasababu niliyoyasoma juu yake hayaendani kabisa na madai haya...na wala haileti maana kusikia kwamba aliyepigania usawa ndie aliyekua wa kwanza kutengeneza matabaka lilipokuja swala la uongozi!!!
Naomba majibu kama yapo yawe na vielelezo na yasiwe maneno ya kusikika na kufikirika tu ili tusiojua tujifunze kitu.
Asanteni!
Mkuu Jasusi , hivi wakati wa Nyerere kulifanyika majaribio ya mapinduziHapo pia umeteleza. Katika njama za mapinduzi za mwaka 1970 alikuwemo mwanajeshi Marwa aliyehusishwa na njama hizo. Jaribu kingine.
Ebu nijuze mkuu kwa mtazamo wako chanya kwa Nyerere unafikiri Nyerere alikuwa na makosa yepi na mapungufy yepi? ili sisi wa kizazi hiki tujifunze kupitia hayo
Mzee kwani madikteta huwa hawaletagi maendeleo?
Sasa kwa yeye kutoka kwenye kabila dogo huoni kwamba kwa kiasi fulani ingeweza kuchangia yeye kuyachukia makubwa yanayobebana?!Lizzy, nionavyo mimi ni kwamba swala la ukabila kwa Nyerere halingewezekana kwa sababu moja kuu: yeye mwenyewe alitoka kwenye kabila kati ya makabila madogo hapa TZ, yaani Wazanaki. Sijui ingekuwaje kama Nyerere angalikuwa aidha Msukuma, Mchagga, Mhaya au Mnyakyusa (of course, this is a hypothecal question/assumption). Angalizo: na mimi nilikuwepo/nipo tangia kabla ya uhuru (kama ao akina Zomba wanavyojigamba!)
a. Soma "Tujisahihishe" aliandika tathmini yake ya kushindwa kwa mpango wa kwanza wa maendeleo. Baadhi ya mambo angeyafanya tofauti sana na alivyofanya.
b. Aliamini kundi la watu waliokuwa pamoja naye walikuwa na uwezo wa kuwaongoza watu. Leo tunatambua ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kuongoza! Aliamini kuwa uongozi unaendana na usomi hivyo aliwapa wasomi wa wakati huo nafasi za kisiasa kuongoza lakini hawakuwa viongozi!
c. Angesimamia yeye mwenyewe mabadiliko ya kisiasa ya kwanza na kubwa zaidi ni kutoiacha CCM madarakani kama de facto party baada ya kurejeshwa mfumo wa vyama vingi na kutopush kusimamia mabadiliko au kuandikwa katiba mpya wakati nafasi ilipojitokeza in mid 1990s. Hili hata hivyo siyo kubwa kwangu kwani aliamua kuachia madaraka 1985 viongozi waliokuwepo (ambao wapo leo hii) ndio waulizwe kwanini hawakufanya mabadiliiko yanayohitajika wakati walipopewa nafasi?
d. Alikuwa mbele sana ya muda wake katika falsafa. Way ahead. Hili lilikuwa "kosa" lake kubwa.
Nioneshe madikteta walioleta maendeleo na walipokuwa na nafasi ya kuendelea na madaraka wakaachia? Kama madikteta wanaweza kuleta maendeleo kwanini tusimlilie Kikwete awe dikteta kama issue ni maendeleo? Hata china kuna Udikteta, Mubarak alikuwa Dikteta, Kim Sung Il ni dikteta - kama tatizo ni maendeleo ushahidi upo kuwa hata madikteta wanaleta maendeleo. So.. ina maana siyo kila dikteta mbaya siyo?
Sidhani kama unatatizo na Dikteta Nyerere, labda kuna tatizo la Nyerere.
Labda unisaidie kujibu majibu haya:
Nyerere alikuwa mdini?
Nyerere alikuwa mkabila?
Nyerere alitawala bila kuzingatia sheria zilizokuwepo?
Je mahakama zilikuwa huru wakati wa Nyerere kulinganisha na sasa? (unapima kwa kuangalia kama mahakama iliamuru kitu serikali ilikifanya au ilikataa au rais aliingilia kati! - madikteta hawajali mahakama zinasema nini)
Nyerere aliuwa watu waliompinga? (niliwahi kuomba orodha ya watu 10 tu waliouawa wakati wa Nyerere nje ya sheria na Nyerere alihusika na vifo vyao - hadi leo sijapatiwa)
Nyerere alikuwa anaagiza watu wateswe na vyombo vya dola? - kuna mifano ya watu waliowajibishwa kwa kuwatendea wananchi vibaya au kutokana na matatizo ya uongozi wao. Leo wanawafanya nini?
Je chaguzi za wakati wa Nyerere zilikuwa hazina uhuru kulinganisha na wakati huu?
Wacha, ulikuwa wapi?
Ni kama vile tumekuwa tunarusha makombora kutoka kwenye handaki bila kujua kuwa kuna mwenzetu anakuja kutupa ahueni.
It is good to see you here man, and now I can take a break!
a. Soma "Tujisahihishe" aliandika tathmini yake ya kushindwa kwa mpango wa kwanza wa maendeleo. Baadhi ya mambo angeyafanya tofauti sana na alivyofanya.
b. Aliamini kundi la watu waliokuwa pamoja naye walikuwa na uwezo wa kuwaongoza watu. Leo tunatambua ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kuongoza! Aliamini kuwa uongozi unaendana na usomi hivyo aliwapa wasomi wa wakati huo nafasi za kisiasa kuongoza lakini hawakuwa viongozi!
c. Angesimamia yeye mwenyewe mabadiliko ya kisiasa ya kwanza na kubwa zaidi ni kutoiacha CCM madarakani kama de facto party baada ya kurejeshwa mfumo wa vyama vingi na kutopush kusimamia mabadiliko au kuandikwa katiba mpya wakati nafasi ilipojitokeza in mid 1990s. Hili hata hivyo siyo kubwa kwangu kwani aliamua kuachia madaraka 1985 viongozi waliokuwepo (ambao wapo leo hii) ndio waulizwe kwanini hawakufanya mabadiliiko yanayohitajika wakati walipopewa nafasi?
d. Alikuwa mbele sana ya muda wake katika falsafa. Way ahead. Hili lilikuwa "kosa" lake kubwa.