State department wanavyom-value JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

State department wanavyom-value JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Jun 2, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
   
 2. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaa! Ni aibu sn km jamaa wanakukaribisha kila ukiomba kwenda- kumbe nyuma wanakudis kinyama.
  Hivi huwa anapita hapa jamvini japo asome hapa? Kwa case ya Serengeti hakika jamaa ameboa sana, na Wakenya watazidi kuonekana wajanja kutuzidi kila kunapokucha.
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  JK alifaa kuwa DC tena wa wilaya isiyo na shughuli nyingi za kiuchumi.Presidency level NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
   
 4. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa yako ni msemaji wa ikulu au mambo ya nje wa marekani au mfakazi wa kawaida (mfagizi)? Does it make sense kusema kuwa ni state department wakati ni mawazo ya mtu mmoja tu tena ambaye ni rafiki yako?

  No, siyo kama napingana na ukweli ulioko kwenye taarifa uliyotujuza ila chanzo chake na ulivyokikuza kukipa uzito wa juu kuwa ni wa department nzima.... hapo ndo nimetatizwa.
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona hata yeye mwenyewe analijua hilo! Ndio maana aliwekewa watu wa kumshauri jinsi ya kuendesha nchi wakaja kugundua kuwa walikuwa hawamshauri vizuri wanampotosha na yeye akawa anapokea tu ushauri potofu ambao umepelekea nchi kufikia hali hii ngumu ya maisha, Wakawaita Magamba wanataka kuyaondoa japo ni Magumu kuvulika.

  Ni rais ambaye itabidi wajukuu zetu waje kumsoma katika historia ya nchi yetu maana hapajawahi kuwa na haitatokea mwaka Watanzania wakawa wajinga tena!

  Ila labda sisi Wabongo tumerogwa!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  yaani mnatumiana email kabisa kujadili hili?? au mlikuwa mnachati tu......
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Kubadilishana email maana yake ni nini? hapo sijakuelewa. na swala la barabara ya serengeti huyo rafiki yako linamhusu nini? thread za kipumbavu hizi.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Non sense!
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Yaweza kuwa na kaukweli fulani.
   
 10. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Are you happy your President being insulted and without shame you published it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. k

  kibokogiziba Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta maneno ya kuwaambia watu sio utetaji wa watu wewe mwili wako haunuki ? kama watu wataanza kujadili harufu ya mwili wako itakuwaje? kisha maoni ya kila mmoja kisa tu yuko state yawakilishwe itakuwaje? unajua kaingiaje hapo state unapopazimia kiasi ukiongea na rafiki yako mmoja unasewasemea wote?
  msitupotezee muda na saikolojia za kumtukana mtu ili hasira zishuke, kila mtu ana makosa yake na mapungufu yake, wacheni umbeya mbona nahisi nyie ni wanaume? "sasa mbona tabia za kike kike sana tena wamitaani ambao humsifia yule tu aliempa fedha nyingi" leteni thread za kuelimisha na kutoa challenge bwana na haya mengine waambieni wake zenu mkikosa pointi za kuwachekesha!
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hata kama ni kweli, lakini jamaa kamdhalilisha Rais wetu Bana.. LOL
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Wewe ulikubaliana naye huyo jamaa ya kwamba anachokisema ni cha kweli?

  Na kama wanaona rais ndo yuko hivyo si mara kwa mara huwa anaenda kwao kwa nini wasimwambie wao wenyewe? Kulikuwa na ulazima gani wa kumtukana kupitia wewe na wewe bila soni ukatuletea jamvini?

  Kuhusu barabara, sijafanya na wala sijaona taarifa inayoelezea madhara ya kimazingira kutokana na kujengwa kwa hiyo barabara, lakini swali langu kwa watu wanaopinga ujenzi wa hiyo barabara mbona ya morogoro kwenda Iringa imekatiza mikumi na wanyama wameshazoea, hiyo ikakatiza serengeti hao watu wana ushahidi gani kwamba wanyama hawatakatiza kwenda kenya?

  Mimi kwetu ni Magu kijiji ambacho kiko karibu sana na Serengeti, huwa kuna kipindi ambacho maji ni ya shida kwenye hifadhi wale wanyama wanakatiza barabara ya lami ya Mwanza Musoma kwenda kunywa maji ziwa victoria na nakumbuka miaka ya nyuma walikuwa wanaingia hadi vijijini wakati huo maeneo ya vijijini hayajafyekwa kwa ajili ya kilimo.
   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tabia za kikekike ni zipi? Mama yako ni mwanaume?
   
 15. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata kama Jk ni mbumbumbu lakini sikubaliani na kinyago wa kizungu kuzungumzia hilo.
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umbea huu peleka kwa shigongo bana ! hata na mie kesho naweza kusema nimeongea na rafiki yangu yuko umoja wa mataifa nk . Hii taarifa nadhani ulipaswa ku share na familia yako sio hapa Jamvini home of great thinkers (ila wewe haumo)
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  If the truth must be told,honestly your rumour mongering friend lacks both diplomatic qualities and traped in compromising his proffession kwa sababu ya urafiki.Je wewe ulifurahia tu?

  Why do we feel the need to throw cheap insults at our president(s)? Americans I've met are not like that.Talk to an American. They respect their country and their leaders so much, even when it's not justified.

  Huku nyumbani tumchane,lakini hawezi kutukanwa na Raia wa nje.Hiyo ni insult kwa watanzania wote
   
 18. m

  matawi JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Alichokosea jeykey ni kukubali kwamba akili yake haiwezi kufanya kazi bila ya washauri na baadaye kukubali kuwa washauri wamemshauri vibaya(Makamba magamba). Implication yake ndo hiyo wanamwona mkuu wa nchi kilaza hatuwezi wazuia
   
 19. B

  Bijou JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  sincerely!!!!! Well said, utanzania kwanza, huyo obama ana nini asituzingue huyo
   
 20. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tanga kwetu, pamoja na matatizo yetu mengi kumwandika Raisi wetu hivi siuafiki. Ningempa hapo hapo kwamba anachokifanya Obama Libya ni jambo baya sana halikubaliki hata kidogo! Wewe vipi?
   
Loading...