Kubenea safarini India na Sweden leo

ndo maana hakupata muda wa kuandika makala hata moja kwenye gazeti la mwanahalisi la wiki hii. Anyway safari njema.
 
akubenea.jpg

aa.jpg

images

All the best kamanda, ulilifumbua macho taifa go on kube
 
Hakuna cha swiden wala mtambo. Anakwenda India kutibiwa macho na taarifa nilizonazo anaweza kufanyiwa oparesheni, maana macho yanatoa machozi hadi hweziona vizuri. Pole sana kamanda.
 
Hivi mpaka sasa polisi bado wanafanya uchunguzi wa ni nani alimmwagia Kubenea Tindikali?
Ushahidi haukupatikana na kesi ilishaondolewa Mahakamani siku nyingi hakuna lolote hao ndio polisi ccm

Safariu njema mpambanaji
 
Asije ikawa kalipiwa tiketi na lowasa, niliongea na mmoja wa wamiliki wa mwanahalisi akakana lakini akakiri kuwa siku zakaribuni lowasa aliwapigia simu na kuwashukuru kwa jinsi walivyovalia njuga swala la ccj

alipiwe tiket na lowasa poa tu ndo hela yetu,mbona jk alisaidiwa na wazir dume so rizik
 
Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.

Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.

Why i feel something is not quite right with this Kubenea na mwanahalisi? especially after magamba thing.
Na hii habari ya mtambo si tuliambiwa amenunua mtambo toka IPP? sasa Sweden inakujaje kwenye hii equation? unless watuambie kuwa mitambo ya ipp iko sweden????

Monduli is not your average fighter!

Mitambo ya Kubenea ipo D'Salaam na ni mitambo iliyokuwa inatumika na IPP. Kama huamini nenda HQ yao wapo huru watakueleza kila kitu, ukiona hilo gumu chukua gazeti la MwanaHalisi tafuta namba yoyote ile kisha piga ujitamblishe wewe ni nani unataka nini kuliko kuendeleza uongo na eti eti za mtaaani.
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Kwa hiyo Sweden anaenda kuangalia mitambo mingine siyo?
 
Kwa hiyo Sweden anaenda kuangalia mitambo mingine siyo?
Hakuna mitambo lakini inawezekana kupata ushauri, maelekezo na mambo mengine kuhusu mitambo hiyo. Vipo vitu vingi ambavyo yeye kama anaweza kuona vina tija ya kupita huko kwa hao manufacturer. Huo wenyewe hajamaliza kuulipia kisha mkuu ununue mwingine?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.

Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.

Wakuu unless kama kuna mtu ana details zaidi kuhusu hiyo ziara ya Sweden, lakini in plain words kama alivyoelezea halisi hapo juu iko hivi, kwenye masuala ya mitambo siku zote assistance especially kuhusu operations and maintenance utaipata kutoka kwa mtengenezaji. Hivyo basi mimi nikinunua crusher iliyotengenezwa na Sandvik kutoka say kwa FJM haimaanishi nikipata tatizo nikamuone FJM, straight ntawajulisha Sandvik kwamba nimenunua mtambo so and so uliotengenezwa na nyie nahitaji kufahamu abc, they will alyways be ready and happy to assist.

Halafu kuna jingine pia kuhusu hawa wauza mitambo na hii ni kumaintain uteja na pia kufanya Marketing. They can buy you a ticket na kufacilitate kila kitu ili uende kuwatembelea na kuona mashine zao zenye teknolojia mpya au vikolombwezo vilivyoongezwa kwenye mtambo ule ule ulionao.

Kwa nyongeza tu ifahamike kuna suala la warrant, mitambo mikubwa mikubwa na some specific parts zinaweza kuwa na warrant hata ya miaka 20, hivyo basi haijalishi mtambo huo umechange hands mara ngapi the warrant will still be maintained.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
hakika Kubenea ameleta mageuzi ya tasnia ya habari kwa kuandika habari za uchunguzi na za kiintelejensia, nenda kaweke mikakati ya kuleta mapinduzi makubwa zaidi ila kuwa makini hawachelewi kuku poison huko hawa CCM na serikali yao
 
Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.

Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.
Kwa hiyo tufanyeje?
 
alipiwe tiket na lowasa poa tu ndo hela yetu,mbona jk alisaidiwa na wazir dume so rizik

huo ni ujinga kuunga mkono mahusiano kama haya ya lowasa na kubenea, kwanza alishawekwa mfukoni ili awachafue akina mwakembe na sitta mnafiki sana hyu jamaaaa. je angekuwa ni mtu wa kanada fulani halafu wa ndani lichMA fulani jamaa wa mkwemtu angesha wapanga akina mrema na wajinga wa hapo hq cdm wamchafue acheni upumbavu wenu wa kishabiki, natamani niwe mimi wale wanabavcha mliowaengua kwa uzushi.
 
Shujaa wa kweli atatambulika kwa mungu tu sio hapa njiani tena uchochoroni palipojaa ujinga wa kila aina tunapopita. maana naona mnapafanya ka makazi yenu ya milele na kupongezana na kuhisi mnafiki ndie shujaa. kazi kwenu bwana
 
kwenye vyombo vyetu vya habari tuna tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria.vyombo vya habari vinaweza kuchangia katika kuua democracy.

ben pole mtu wangu! Nasikia walikata jina lako kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti kutokana na sababu kua sii kwamba huna sifa bali kua ulicheza faulo kama zile za mabeki wa real madrid wanapokutana na barcelona
 
Back
Top Bottom