Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,325
hapo kwenye bold anzisha thread yake !
hauwezi kuanza kumjadili Pengo bila kujadili kauli ya Kikwete aliyoitoa kwa viongozi wa dini! Ni kauli ya kikwete ndiyo imesababisha Pengo atoe kauli yake! Sasa swali...kama Kikwete anajawajua ..kwa nini asiwataje wakachukuliwa hatua? Kikwete alisema viongozi wa dini wanajihusisha na madawa ya kulevya.......sasa wewe hebu niambie ..unafikiri kikwete alikuwa anamaanisha dini zipi? au kwa uelewa wako kuna dini za aina ngapii hapa tanzania?
Haya ni matatizo ya kupitia Sunday school. Huwezi kudadisi kitu.
Mimi mpaka sasa naijadili kauli ya Kikwete aliwatuhumu viongozi wa DINI kujitusisha na madawa. sasa mimi najadili mzizi mkuu kwa kulinganisha na Kauli alizotoa Pengo kumjibu Kikwete.
Sasa tunajuwa wazi Pengo ni mkristo. Ndio maana namuuliza kuwa Je UKRISTO ni DINI kama suala la awali kabla kufikia kuijadili kauli zake.
Tuwekeni wazi basi ili tuijadili kauli zake kama sio kimbelembele chake.
Elewa kuwa katiba ya Tanzania inaweka wazi kuwa Tanzania ni nchi na si mkoa wala wilaya. Sasa vipi Bible au hata katekism au Chuo kidogo cha Sala kinasemaje kuhusu Ukristo kuwa ni Dini.
naomba andiko hapo.