Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
acha udini weweHakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
acha udini weweHakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
na wewe acha udiniHaya ndio mafundisho uliyopata kutoka kwa Marehemu Mtume Muhamad?
acha udinihamna kwa marehemu kristu aliyekufa na misumari
sio movie ni movegood movie and step
You Tanzanian Muslims, your enemy is poverty and poor education, not Christians. Christians are united, you hit me, we hit you. One more college make you stronger, one more madrasa makes you weaker.Naona mada hii inajibiwa bila kujua ni nini CDU ya ujerumani hebu ingieni kwenye google muone mchango wa hiki chama kwa kuhakikisha ujerumani inakua nchi yenye misingi ya kikristo pekee ilivyotekelezwa, kisha mseme msimamo na sera za hii CDU inafaa kwa cdm? chama chenye waislamu na wakristo kwa pamoja. maana mie nimejitahidi kuwafuatilia mpaka viongozi wake na sera zake kwa hakika siungi mkono.
wana cdm tuna tatizo la kutopenda kukosolewa lakini tujue hasira za hawa jamaa watakuja tudhalilisha siku moja. na kuna slogani moja nimeisikia kua waislamu vita zote kwao ni makosa isipokua tu vita vya kupigania dini yao ndo vita halali na hapo wanapenda kufa zaidi kuliko kuishi. sasa mwendo wa CDU tuisome kwanza kabla ya kutoa maoni vinginevyo tutakinywea wakitukalia.
Chadema ina hazina kubwa sana ya vijana wenye uwezo.Wakiwekewa utaratibu mzuri chama kinaweza kufika mbali,muda umebaki mchache sana.Mwaka 2015 ulimwengu unaweza kushangaa.Bavicha kishaurini chama na mkishinikize kutumia uwezo wa hazina kubwa mliyo nayo,nawashauri muachane na siasa za ulaji ili kidogo mtofautiane na UVCCM.Vijana wa tanzania wanawategemea sana,kipindi cha uchaguzi nilifurahi sana nilipoona kila mmoja anajenga hoja nzito na zenye ushawishi hata kuliko sisi wabunge kwenye vyombo vya habari.It was so impressive na ilisaidia kweli kuonyesha jeuri ya hazina ya vijana wenye uwezo,wasomi na makini wenye kupanga maono ya baadae ya ukombozi wa taifa letu.Kuna kichwa kimoja inabidi mkitumie,shirikianeni la sivyo UVCCM wanajiandaa au wanaandaliwa kweli kweli kwa ajili ya uchaguzi ujao,ni kama jihad kwao.Huku bungeni bado tunahitaji vijana wengi wenye uwezo mkubwa,pia nitoe wito kwa wanajamii Forums wengi mjiandae kwenda majimboni.Asanteni
Christian democracy is a political ideology that seeks to apply Christian principles to public policy. It emerged in nineteenth-century Europe under the influence ofconservatism and Catholic social teaching.[SUP][1][/SUP] It continues to be influential in Europe and Latin America, though in a number of countries its Christian ethos has been diluted by secularisation.
In practice, Christian democracy is often considered conservative on cultural, social and moral issues (social conservatism) and advocates a social market economy in the economic field (crossing over with social democratic economics but based on the family). In Europe, where their opponents have traditionally been secularistsocialists, Christian democratic parties are moderately conservative overall, whereas in the very different cultural and political environment of Latin America they tend to lean to the left.
Examples of Christian democratic parties include the German Christian Democratic Union (CDU), the Christian Democrat Party of Chile, the Christian Democratic People's Party of Switzerland, the Christian Democratic Appeal (CDA) in the Netherlands and the historical Christian Democracy in Italy.
Ili nchi ipate maendeleo lazima itawaliwe na mtu aliye mcha Mungu!